Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
No hutokea hyo ndugu, watu wanajisahau kuendeleza makwao pindi wapatapo mafanikio!Mmmmh!Kuna mahali parking imejaa nini?Ujirani mwema safi.
Sio kwa sangoma hapo?! Maana ukipita mitaa hiyo huwa kuna magari tena mpaka ya akina nanilihu yamejaa nje namna hiyo.