Matembezi makubwa ya kuchangia CUF kufanyika kesho.

Matembezi makubwa ya kuchangia CUF kufanyika kesho.

Haya matembezi ya leo ya CUF ya kuchangia chama ni namna ya kujaribu kuhalalisha mabilioni chama hicho kinachopata kutoka nje, kutoka kwa nchi za Kiarabu na zile za Kiisilamu.

Hivi karibuni CCM waliisema CDM kwamba hafla zao za michango ni danganya toto ni kujaribu kuhalalisha mabilioni wanayopata kutoka nche za nje, hususan za Ulaya.

Tunangoja CCM iseme hivyo hivyo kuhusu hii michango ya CUF.
 
CCM haiwezi kuisemea CUF hivyo, si mke na mume kwa sasa? Hata kuyagusa maandamano yao hawawezi kwani policcm wanataka kuonyesha CUF ni chama cha utulivu.

Ni unafiki mkubwa wa serikali ya CCM kwani wanataka tusahau kwamba huko nyuma CUF ilipokuwa tishio kwa CCM policcm walikuwa wanafanya kama wanavyofanya kwa CDM, kuingilia maandamano yao hata kama yalikuwa tulivu.
 
we hujui kambarage suti aliyovaa kwenda un kapewa na dossa aziz?..achen kudanganya kwenye historia
 
msisahau kupita pale manzese kuna wateja wengi sana wa cuf........

Haya matembezi CUF mngeyafanya cku ya Ijumaa baada ya swala ingekuwa poa tungehamasishwa tokea masjid tukitoka hapo moja kwa moja barabarani
 
Makabwela na malofa.

Kuchangia fedha za kumpeleka sultani malaysia tena au?
 
chama cha makabwela chama cha wanainchi CUF kesho kitafanya matembezi makubwa yatakayoanzia Buguruni shell na kuishia viwanja vya Jangwani, lengo ni kukusanya zaidi ya sh 1bln kutoka kwa wanachama na wapenzi wa CUF. Hakiiiii

Copy and paste! Mnapenda kuteleza na ganda la ndizi juu ya tiles! M4c with no apology.
 
duh! wamenikumbusha!
MAONGEZI YA CUF NA JOTI YATAKUWA HIVI!
"JOTI: braza halafu kunawatu wanajiita chadema wamewaiga nyie kabisa kwenye hili suala la kuchangisha pesa!
CUF: nikweli unajua sisi niwabunifu halafu nichama makini sawasawa?
JOTI: lakini braza wao walianza likini naona wamewaiga!
CUFU: wewe godo potea sisi ndio tumeanzisha hii kitu!
JOTI: anacheka, braza nyie wabayaaaa,braza nyie wabayaaaaaaaa!
CUF: acha ujinga dogo fuatilia mambo!
JOTI!: braza mmekopi na......................! hahahahahahahahah mmekopi na ........
Tehe tehe tehe kwi kwi kwiiiiii!!!
 
Haya matembezi CUF mngeyafanya cku ya Ijumaa baada ya swala ingekuwa poa tungehamasishwa tokea masjid tukitoka hapo moja kwa moja barabarani
masjid siku hizi kuna mamluki wengi wa bakwata na wengi ni vibaraka wa NYINYIEM
 
Back
Top Bottom