englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,209
Ipo Kyela Tanzania. Hiyo milima nyuma ni Safu za milima ya Livingstone. Ukipanda hiyo milima ukitelemkia nyuma yake ni Makete. Halafu Dada Joy ndio anatuambia hiyo pwani yote mpaka Kyela mjini ni kwa Malawi,tutamchapa!iko wapi
Hyo sehm balha nliwh fkga cpasahu yni had 8 ucku unaoga salma
Ni pazuri halafu pasafi
Matema tuliendaga tour enzi zile nasoma shule fulani kule Mbeya..........
ni sehem nzuri sana......
Unamatatizo akili au?Hyo sehm balha nliwh fkga cpasahu yni had 8 ucku unaoga salma
Me too
Hyo sehm balha nliwh fkga cpasahu yni had 8 ucku unaoga salma
Hyo sehm balha nliwh fkga cpasahu yni had 8 ucku unaoga salma
Nilidhani lile Basi sijui km bado yapo hahaha, Utajiri wa TZ huo lkn CCM hawawezi kuutumia kutuondoa hapa tulipo