hata kuku asipotaga utasikia ni wayahudi wamesababisha
U'r smart.
hata kuku asipotaga utasikia ni wayahudi wamesababisha
- Kwa nini wanajiita Islamic State!!??
- wana mahusiano gani na Islam kama dini?
- wanatumia mahakama gani kutoa adhabu ya kuchinja mtu au vifungu gani vya sheria kumchinja mtu!?
- jamii ya kiislam ina maoni gani kwa hili suala?? duniani na hapa bongo shura za maulamaa zinasemaje!!??
- Israel wanapowapiga wapalestina wanalaani je hili linawahusu!?
- huyo mjapani ni mkristo?
- nini maoni ya ritz, mohd said, faiza, big show nk... mnalaani hili au mnaunga mkono?
- nasikia islamic state ni kitengo cha oic.. nini ukweli ktk hili!??
You are right mkuumimi ata uchome biblia yangu sikufanyi kitu nitakuangalia tu siku hizi biblia zipo ata kwenye simu,ata ukimchora Yesu sitokufanya kitu sina haki ya kuhukumu mtu kwa sababu ya mambo za dini,mwenye kutoa hukumu ni mmoja tu,kila mtu atabeba mzigo wake,nilifundishwa kuwapenda watu wote bila kujali dini.
Hakuna kitu kikubwa duniani kama UPENDO
peace & love
Unajua hao isis yaani wamechafukwa hasa si mchezo.Mkuu hili ni kundi la kigaidi ambalo dunia nzima ilipaswa kuungana kulitokomeza. ni kundi lenye falsafa ya ajabu kabisa. hata hivyo wakati fulani Marekani iliwahi mkomboa mateka wao kutoka kundi la Alkaeda kwa malipo. Nadhani Japan ingelipa hizo pesa kuliko kumwacha afanyiwe ukatili huo. Uhai lazima uokolewe kwa gharama zozote zile.
Waislam waandamane ili iweje?wala sijaona waislam kuandamana kupinga uovu wa awa jamaa,ila ingekuwa kitabu chao kimechomwa ungeona fujo zake,siwaelewi kabisa
If you want to see the image of decapitation.
Enter here: [h=1]Islamic State (ISIS) allegedly has beheaded the second Japanese hostage Kenji Goto[/h]
- Kwa nini wanajiita Islamic State!!??
- wana mahusiano gani na Islam kama dini?
- wanatumia mahakama gani kutoa adhabu ya kuchinja mtu au vifungu gani vya sheria kumchinja mtu!?
- jamii ya kiislam ina maoni gani kwa hili suala?? duniani na hapa bongo shura za maulamaa zinasemaje!!??
- Israel wanapowapiga wapalestina wanalaani je hili linawahusu!?
- huyo mjapani ni mkristo?
- nini maoni ya ritz, mohd said, faiza, big show nk... mnalaani hili au mnaunga mkono?
- nasikia islamic state ni kitengo cha oic.. nini ukweli ktk hili!??
Hoja ya kipuuzi sana hii. Hivi mtu kuamua kifi.rwa au kum.---- mtu kwa hiari ni jambo la maandamano? Unaweza kuniambia hao wanaochinjwa wanachinjwa kwa hiari yao? Kuweni na mioyo ya kiutu kidogo. Hebu fikiria watoto wa huyo mwandishi wakiona picha za baba yao kachinjwa wakati alikuwa yuko kazini kutoa habari za vita!
Sorry kwa lugha yangu, nimehamanika sana kwa upuuzi huu.
Namimi nina hamu ya kujua majibu ya haya maswali.
Waislam waandamane ili iweje?
Ongeza na hili: huyo Mjapani alufuata nini huko?
Mkuu hili ni kundi la kigaidi ambalo dunia nzima ilipaswa kuungana kulitokomeza. ni kundi lenye falsafa ya ajabu kabisa. hata hivyo wakati fulani Marekani iliwahi mkomboa mateka wao kutoka kundi la Alkaeda kwa malipo. Nadhani Japan ingelipa hizo pesa kuliko kumwacha afanyiwe ukatili huo. Uhai lazima uokolewe kwa gharama zozote zile.