Mateka wa kijapani auawa na ISIL

Mateka wa kijapani auawa na ISIL

hawa islamic state na boko haram wanasema kupigania uislam lakin sijaona waislam mfano wa tanzania kuandamana kuwapinga ila ingekuwa kitabu chao kimechomwa uko marekan au ulaya ungeona fujo zake wanachoma makanisa ya wasio na hatia tz,siwaelewi

sisi wote kitu kimoja,hizo dini zenyewe zililetwa na wakoloni
Nami nadhani hakuna udhalilishaji wa dini zaidi ya huu unaofanywa na Boko Hramu na Islamic state,kutumia jina la dini kufanya ushaitwan wa aina hii ulipaswa ulaaniwe ,ufanyiwe maandamano ,na sijui hapa wangechoma nini
.Kwanza wanaouliwa na hawa mahayawami zaidi ni wa dini yao,sasa sijui wana mlipresent nani
 
233BB0F500000578-0-French_intelligence_services_this_morning_said_they_believe_this-1_1416304263076.jpg
2343C43300000578-2839065-image-10_1416311845797.jpg
2343C41900000578-2839065-image-4_1416311782092.jpg
Hebu watazame vizuri hao ni waisrael au warabu!!
 
Back
Top Bottom