Mfarisayomtata JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 474 Reaction score 188 Mar 28, 2012 #1 Vichaa wawili walikuwa wanabishana mchana kweupee, mmoja anasema "hili ni jua" mwingine "huu mwezi", mara akaja kichaa watatu basi wakaamua kumuuliza" eti mwana hili ni jua au mwezi?" kichaa kwa unyoonge kabisa, "dah! Kweli ata mimi sina uhakika."
Vichaa wawili walikuwa wanabishana mchana kweupee, mmoja anasema "hili ni jua" mwingine "huu mwezi", mara akaja kichaa watatu basi wakaamua kumuuliza" eti mwana hili ni jua au mwezi?" kichaa kwa unyoonge kabisa, "dah! Kweli ata mimi sina uhakika."