Mate ya mpenzio...

Rubi kwanini usihisi kuwa ni boflo la kutafuna hata bila chai au maji?

Hivi kwa nini wajiita boflo. nakui-magine ulivyo tipwatipwa na minyama uzembe.
 
Last edited by a moderator:
Unanikumbusha demu mmoja nilitaka nimpige romance akatoa ulimi wote na kuachama mdomo ile namsogelea si akaniponga na meno yake kwenye lipsi zangu ,kah! Nilijutaje nikavumilia maumivu sikumwambia kama kaniumiza.

nimeshindwa kuvumilia kicheko nimecheka kwa nguvu mno hahahahahahahaaaaaaaaaaa! daaah humu ndani raha tuu wacha tuwe busy na kusoma michango ya watu maana tunaburudika na siku inaisha hehehehehheeeeee, kukiss nako kunahitaji utaalam sasa kiss mdomo wote wazi kama unalishwa keki khaaaaa! mi ingenikuta ningecheka kwanza na kiss ingeishia hapohapo na angeniuliza ningemwambia nimekumbuka kichekesho cha jf hahahahahahaaaaa thanks KUNGURUHAFUGIKI umenichekesha na hivi napenda kucheka ntacheka hadi jioni.
 
Last edited by a moderator:

Acha umbea mwanamke
 
Unanikumbusha demu mmoja nilitaka nimpige romance akatoa ulimi wote na kuachama mdomo ile namsogelea si akaniponga na meno yake kwenye lipsi zangu ,kah! Nilijutaje nikavumilia maumivu sikumwambia kama kaniumiza.

Hiyo kissing ya kidigital bwana usimlaumu sana yeye hivyo ndivyo kaambiwa ni ujanja.hata kaelimu kidogo unatoa before utakosa lips wewe!!!!!!!!!!!
 
yaani Bofloakili yako huwa iko mbele kama Socrates jamani mbona una pumba hivi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!dah
 
wat a gud thing i real like kissin 4 sure hata kama nitaricshwaje in sex without kic lazima roho iniume
 
A kiss connects two hearts, souls and minds into one thing. Saliva is just the glue that binds everything together.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…