Matawi Uchwara ya CCM/Chadema Houston | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Matawi Uchwara ya CCM/Chadema Houston

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by SHERRIF ARPAIO, Oct 16, 2010.

 1. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Houston mnachekesha sana!
  Kisa gani cha kuanzisha tawi lenu then mliite tawi la CCM Marekani? Kuna 50 states hapa US na kila state ina sheria zake, watu wake wenye tabia tofauti na mambo yake kuanzia kwa wamarekani wenyewe hadi watanzania.
  Ni sawa na kuanzisha tawi then uliite tawi la CCM Europe, does it make any sense kweli. Kama mmeanzisha matawi yenu huko yawe ya CCM, CUF ama Chadema basi myaite tawi---Huoston na sio Marekani kwani sio watu wote wenye akili fupi na njaa ya kushabikia siasa za upuuzi.
  Tawi hilo majority ya watu hapa US hatuna habari hadi juzi tulipoona hizo habari kwenye michuzi blog.
  Tupatieni contacts za tawi, mnafichaficha tuu ama ndio matawi ya bloguni?
  Utajiri wote CCM waliokuwa nao basi hata website inawashinda?
  Where is the physical address, phone, fax?
  Nani ni mwenyekiti na wajumbe?
  Kama mko wakweli basi mbona mnaendesha hayo matawi kisirisiri, mnaficha nini?
  Nao hao wanachama na wajumbe mbona mnajificha?
  Mlianza wizi wa chips mkaishia jela wengine mkalianzisha.
  Mlianza wizi wa cheki feki mkaishia pabaya.
  Mlianza sholifting kwenye malls na ku-hang na mapopo mpaka sasa wamewachoka.
  Shule kichwani wengi wenu zero/vilaza.
  Box mmelibeba sasa linawashinda na mmeona kuanzisha matawi ya CCM/Chadema ndio deal.
  Mnachekesha sana. Basi yaiteni matawi ya CCM/Chadema Houston na sio eti tawi la CCM Marekani kwani si watu wote tuna akili ya maji.
  Shida na njaa zenu mziendekeze wenyewe na sio wabongo wote tuliokuwa US.
  Na ujanja woote wa kuishi nje bado mnashabikia siasa uchwara!
  Mtaishia kuwa kama Joe the Plumber!
  Man up, dudes!:bowl:
  Dumbs!!
   
 2. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #2
  Oct 16, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  get em' bro... Broke niggers!
   
 3. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2010
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Aisee! mtu unakuwa US bado unatumikishwa ujinga na na wajanja wa BONGO( mafisadi ):mmph: mnatia aibu bwana!. au mafisadi ndio wanakuwekeni huko enh?.
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Oct 16, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mh,waoneeni huruma bila ccm watarudi nyumbani mapemaaaaaa
   
 5. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #5
  Oct 17, 2010
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Ni kuendekeza njaa tu
   
Loading...