Matatizo yatokanayo na mapenzi

Matatizo yatokanayo na mapenzi

Yanakwenda na mfungo wa nguvu hata miezi mitatu.
Ni kujipanga haswaa na kukata shauri moja kwa moja.

Kijana inambidi aelewe ni kwanini anahitaji kufunguliwa? Kama ni kwa lengo la kufanya uhuni, maombi hayo hayamfai.

Inambidi ajitulize katika mikono salama na kuyaishi maisha ya utakatifu.
 
Kuna michezo hapa duniani kuna wakati niliipitia ndipo nulipojua shetani ni mshenzi.
 
Kuna watu wanapenda ushrikina jamani unafunga dushe wenzio watumie nn sasa ni yako si ufunge poch yako... Haya matokeo yake nso hayo yani wanawake wengne baaana unaongozwa na hisia baada ya kufjlia what will happen kesho kama nikifanya hv
 
Back
Top Bottom