Habari za mida ndugu wadau wa maendeleo, mazingira, ma siasa, ma teknohama, mahusiano na mapenzi.
Huwa najiuliza sana kuhusu wapigaji picha hapa nchini. Ni kwamba hawana camera za ukweli ama lenzi zao ni za kichina ama ni kwa nini ni lazima wajichomeke katikati ya tukio mbele ya uso wa mtu ndio wachukue picha?
Ukienda nchi za watu utakuta mzungumzaji/ msanii/ mwanasiasa etc. anaongea labda kwenye uwanja wa wazi na picha zinapigwa kutokea maili moja across, huoni mtu aliyemkalia usoni kumpiga picha.
Hapa kwetu hata ukienda kwenda kiukumbi kidogo cha kanisa kwa mfano, kukiwa na tukio kama harusi basi hata mchungaji humuoni wala hao wanandoa huwaoni kwa sababu wanazibwa na msururu wa wapiga picha pale mbele, kitu ambacho kinawapa priority watakaoangalia hizo picha baadae - kama zitaangaliwa anyway - kuliko sisi tulioko eneo la tukio kuwezesha ifanikiwe.
Tatizo hapa kwetu ni nini? Vyombo ni vy Kichina au wana matatizo gani?
kama hauna sauti huwezi kaaa mbali ukachukua video. pengine hao jamaa hawaruhusiwi kuwavalisha mic au kueka mic karibu yao hivyo inabidi wawe karibu kupata sauti.
I know a couple of reeeeaally good photographers tho!
.... https://instagram.com/marcngotonie_photography/
....
Him being one of them, really beautiful shots, brother is amazing with a camera check out the pics they are beautiful indeed.
Kuna kina manifester brand as well who are photography gods wa bongo! Kaka sema hujawaona 2 kazi zao, kuna really good guys out there
kama hauna sauti huwezi kaaa mbali ukachukua video. pengine hao jamaa hawaruhusiwi kuwavalisha mic au kueka mic karibu yao hivyo inabidi wawe karibu kupata sauti.
Kwa case ya video sawa...ila kwa picha za kawaid za kuweka kweny magazet hain haja ya sauti..
ila ni lazma waend mpka karibu na muhusika na kumpiga picha..
Sisi teknolijia ya picha iko chini..... Tukubali ukweli.... Nakuwa admired sana na LENS za Nat Geo World.... Na wale huwa wanatumiaga camera kama Cannon 5D