Matatizo ya uchumi wa Tanzania-ilani ya uchaguzi ya CHADEMA ya 2015 ukurasa wa 48

Trump2

JF-Expert Member
May 28, 2017
1,553
2,608
Sijui kama CHADEMA wanaisoma ilani hii kabla ya Kumpinga Rais Magufuli

Screenshot_20180715-164317.png
 
Ha ha haaa

Wakaweka na viatu/mabegi ya quality mbovu eeeh picha hiyo inaonyesha walikuwa wameweka tu na hayo waliandika. Wasingetekeleza kabisa kabisa ndio maana aanaumia.. kwa kuwa ni wana Chadema.feki.. ndio maana hawajui yaliyowekwa kwa ilani yao..

Kweli awamu hii kibokoooo yao
 
Sijui kama CHADEMA wanaisoma ilani hii kabla ya Kumpinga Rais Magufuli

View attachment 809952
Badala ya kutatua matatizo ya watanzania CCM imejaza misukule mtandaoni kuhalalisha matatizo yao kwa kutumia matatizo ya wengine.

- Ipo siku mtapitisha sheria ya kuwaruhusu mpigwe MADOLE kwa sababu VYAMA vya upinzani wanaipinga, akili zimekaa kupambana na upinzani tu
 
Matumizi mabaya ya fedha za umma na madeni hivi kumbe Chadema waliviona. Japo kuna kujitetea juu ya madeni ya Taifa deni letu la tutia kutokwenda. Ununuzi ndege na ufufuzi ATCL, Kiwanja cha ndege Chato ni matumizi mabaya fedha za umma.
 
Ha ha haaa

Wakaweka na viatu/mabegi ya quality mbovu eeeh picha hiyo inaonyesha walikuwa wameweka tu na hayo waliandika. Wasingetekeleza kabisa kabisa ndio maana aanaumia.. kwa kuwa ni wana Chadema.feki.. ndio maana hawajui yaliyowekwa kwa ilani yao..

Kweli awamu hii kibokoooo yao
una akili za face book. ndo umeandika nn sasa?
 
Sijui kama CHADEMA wanaisoma ilani hii kabla ya Kumpinga Rais Magufuli

View attachment 809952
uliyepandisha uzi huu ndio wewe ulihehalalisha vgeti fake vya bwana BASHITE juzi ati tuachane navyo kisa anachapa kazi sana? sijui kakuchapia kazi gani? ni wewe kila siku unazusha mambo ya uongo humu? ni wewe unayehalalisha matumizi mabovu ya pesa za umma kisa kafanya mwenyekiti? hovyooo
 
Back
Top Bottom