Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 808
- 2,170
Nilisoma post ya mdau mmoja kuhusu kuroot simu. Nimejaribu kuroot simu yangu samsung galaxy s3 neo na ikashindikana. Tatizo ni kuwa adds zimekuwa nyingi mpaka zinakera, sasa kwa anaejua anisaidie nifanyaje niirudishe kwenye hali yake ya awali?