Matatizo ya kulala bila nguo

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
Matatizo ya kulala bila nguo usiku baba,mama,na mtoto wame lala
Gafla mtoto kaamka
Mtoto:mama nataka nikakojoe
Mama:chukua tochi hapo uende
Mtoto:akanyoosha mkono anaazakupapasa kumbe baba kalala uchi mara akashika uume wa baba yake akizani tochi
Baba:(kwakuzuga)we acha iyo haina betri

Nakuja nimeitwa kidogo
 
mnapo buni hadithi basi ziwe na maudhui ya kikwetu kweli kweli sio maudhui ya kambi za wakimbizi
 
Mtoto aliyefikisha umri wa kujua kujipeleka chooni kwa tochi anafanya nini kwenye kitanda cha wazazi. Wacheni hizo, huyo atakua hata anawaona mkicheza gemu yenu ila anazuga tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom