Matatizo ya flash

JAYJAY

JF-Expert Member
Oct 31, 2008
7,492
7,515
Wadau nina tatizo moja, kuna files(audio files) nilizichukua kutoka computer fulani, sasa kufungua flash naona zinaonekana kama shortcuts ambayo haitambuliki kwa hiyo files haziwezi kuwa accessed. Lakini kwenye properties zinaonekana zipo kwani zimekula memory ya kutosha. Nifanyeje wadau naomba msaada.
 
Hiyo nimejaribu bila mafanikio.ila kitu kimoja nilichogundua ni kuwa zile files za wmp nikizibeba bila kuziweka kwenye folder zinaonekana na zina'play' kama kawaida ila nikiziweka kwenye folder nikifungua flash ile folder ndio inaonekana kama shortcut.MESEJI AMBAYO INATOKEA NI 'THE FILE THE SHORTCUT ''YAOOQ.SCR'' REFERS TO CANNOT BE FOUND'
follow these steps;
nenda kwenye control panel, then folder options, then view, scrol down to show hidden files and click, then apply. Rudi angalia flash yako. Highlight files zenye faint colour then, right click, then properties, then click on hidden then, ok. Ukimaliza rudi kwenye folder options then dont show hidden files, then ok. Thats it.

Toa feedback
 
Follow these steps;
nenda kwenye control panel, then folder options, then view, scrol down to show hidden files and click, then apply. Rudi angalia flash yako. highlight files zenye faint colour then, right click, then properties, then click on hidden then, ok. ukimaliza rudi kwenye folder options then dont show hidden files, then ok. thats it.

toa feedback

try this link Really Desperate For Help - Lavasoft Support Forums

credit to: How can I remove the virus of "C:\WINDOWS\hinhem.scr"? - Yahoo! Answers


you can also scan the flash using Avira, there is free version here http://www.avira.com/en/avira-free-antivirus
Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom