Labda uweke sd cad then uweke apps kwenye sd card na pia unaweka kila utakacho fanya kiingie kwenye sd card
Mkuu simu yangu ina tatizo kama hili, nimeweka sd card ya 30gb, hakuna app inayokubali kuingia kwenye sd, hapa siwezi kuingiza kitu inasema hamna nafasi
Cc Chief-Mkwawa
simu yako ni aina gan pia ni android version gan
Mkuu simu yangu ina tatizo kama hili, nimeweka sd card ya 30gb, hakuna app inayokubali kuingia kwenye sd, hapa siwezi kuingiza kitu inasema hamna nafasi
Cc Chief-Mkwawa
Inawezeka SD Card yako ina shida jaribu kuisoma kwa kutmia cm nyingine kabla huja-conclude! Njia rahisi ya kubaki na internal memory kubwa ni ku-back up info zako kwenye SD-Card. All the best!
Mkuu simu yangu ina tatizo kama hili, nimeweka sd card ya 30gb, hakuna app inayokubali kuingia kwenye sd, hapa siwezi kuingiza kitu inasema hamna nafasi
Cc Chief-Mkwawa
HTC desire 610
Version 4.4.2
Sio kila simu inaweza pia kukubali memory card kubwa hivyo.
Wewe cheki kwanza hicho kimeo chako kinauwezo huo ndio uweke.
Simu nyingine memory card mwisho ni 2gb sasa wewe umetuwekea 30gb hahaha.
Au nikutoka kule shingha.......
Mkuu hapo kwenye kuhamisha ndio shida,
simu yako ina internal 8gb hivyo na assume una kama 4-5gb za free memory za internal. je umeeka apps za ukubwa huo?
kama haujaeka ina maana internal memory yako imejazwa na nyimbo, picha, video, setup za apk na other files.
cha muhimu ni kuhamisha media zote ndio ziende kwenye memory card na utumie hizo 5gb zako kwa ajili ya apps.
nenda setting halafu storage uangalie ni kitu gani kinakula sana storage halafu tumia file manager kuingia kila folder uhamishe vitu kwenye sd card
Mkuu hapo kwenye kuhamisha ndio shida,