HUU NDO UCHIZI KTK MAISHA

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,271
29,879
HUU NDO UCHIZI KTK MAISHA.

Maana yake,

1:Unachokitaka hukipati (MAPENZI)

2:Unachokipata hukifurahii (NDOA)

3:Kinachokufurahisha hakidumu (HAWALA)

4:Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)

5.Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)

6.Kinacho dhalilisha kinapendwa (ZINAA)

7.Kinacho ogopwa hakina maandalizi (KIFO)

8.Kinacho andaliwa hakiendelei (UHAI)

9.Vyakuzingatia havizingatiwi (QUR'AN & BIBLE)

10.Vinavyofuatwa havina Maana (SIASA)

Mambo Mengine Buana
 
Nilishawai kusoma hapa jf kuwa kuna baadhi ya maneno mwanaume akiyatumia inabidi uchunguze mara mbili mfano: bhana - buana
 
Siasa haina maana wakati kuna watu wanashangilia kwa kuwa hawakaguliwi vyeti vyao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom