Maisha Hayana radha !!

Tetra

JF-Expert Member
Oct 5, 2012
1,520
764
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown
 
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown

Hiyo namba kumi hapo,wanakuja wenye fani yao
 
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown

Naona UAMSHO hujawagusa kabisa
 
Aliyekwambia siasa haina maana hajui maana halisi ya siasa(politics).A human being is a political animal.Hakuna mfumo wowote wa maisha usio na siasa.TAFAKARI,FANYA UTAFITI.
 
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown

Naunga mkono hoja ila namba 2 na 4 inategemea uliingiaje kwenye hiyo tasnia! Kama ulivutiwa na pesa, au ulishinikizwa, au ulilazimishwa na umri, au ndugu au kampani nk au uliingia kwa sababu yeyote ile isiyokuwa mapenzi ya kweli na kama wote wawili (mume+mke) mkikataa kuvumilia na kushirikiana katika mambo yenu ya kifamilia huku mkisikiliza maneno ya jirani na ndugu na hapo hapo mkimsahau muumba, lazima namba 2 na 4 ifanye makazi ya kudumu kwenye familia yako.
 
1.Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2.Unachokipata hukifurahii
(NDOA)
3.Kinachokufurahisha hakidumu
(BOY/GIRL FRIEND)
4.Kinachodumu kinakera
(MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha
(FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa
(NGONO)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi
(KIFO)
8.Kinachoandaliwa hakiendelei
(UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi
(IBADA)
10.Vinavyozingatiwa havina maana
(SIASA)
source:unknown


9.Vyenye Maana Havizingatiwi(IBADA)


Unaonaje Hapo?
 
duh kama kweli ngoja niendelee kutafakari...nahisi kwenye heading ulikusudia kuandika ladha badala ya radha...
 
vitu vyote ni sawa,tatizo ni mitazamo,hisia ndio changamoto kwa binadamu,wengine huona hiki kina faida, ila perccption
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom