mahirtwahir
JF-Expert Member
- Jan 12, 2013
- 613
- 311
MAISHA YANASHANGAZA
1:Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2:Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3:Kinachokufurahisha hakidumu (BOY/GIRLFRIEND)
4:Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi (KIFO)
8.Kinchoandaliwa hakiendelei (UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi (IBADA)
10.Vinavyofuatwa havina Maana (SIASA)
na haya ndio maisha ya sasa!
1:Unachotaka hukipati (MAPENZI)
2:Unachokipata hukifurahii (NDOA)
3:Kinachokufurahisha hakidumu (BOY/GIRLFRIEND)
4:Kinachodumu kinakera (MUME/MKE)
5.Chenye thamani kinadhalilisha (FEDHA)
6.Kinachodhalilisha kinapendwa (ZINAA)
7.Kinachoogopwa hakina maandalizi (KIFO)
8.Kinchoandaliwa hakiendelei (UHAI)
9.Vyakuzingatia havizingatiwi (IBADA)
10.Vinavyofuatwa havina Maana (SIASA)
na haya ndio maisha ya sasa!