Matatizo na changamoto za maisha

wengine tunazo nyingi mpaka server za jf zitajaa bora nisiziandike tu, ila suluhisho langu katika gumu lolote ninalopitia ni Mungu.
Ninashuhudia Mungu kawa msaada mkubwa kwangu, anasikia, anajari, anajibu kwa muda unaofaa, kanitendea mengi hata katika nyakati ambazo nilielekea kukata tamaa kabisa.

Pole ndugu yangu.. Mungu yupo anaona na kusikia usijali omba kwa bidii na kazi ufanye
 
Nisiwe mnafiki kabisa changamoto inayonitesa ni moja tuu sina demu wala rafiki, ndugu jamaa na majirani wanadai najiskia nipo anti-social siwaelewani.

Yani nikienda Bar nakaa mwenyewe nakunywa vitu vyangu juzi mrembo si akanifata akaniambia Kaka mbona kila siku unakaa mwenyewe hauongei hauna demu nikamwambia ndio unaishije Sasa nikamwambia napiga sana Puchu aka punyeto nikamwambia unakunywa akasema Serengeti light nikamnunulia 10 kwa pamoja nikaondoka zangu akaniambia hata namba yangu hauchukui nikamwambia kunywa bia ukalale kumbe yule dada akabeba zile bia akaanza nifata na bajaji mpaka napoishi kufika Sina habari mbwa wakampalamia wemrarua Sasa hivi changamoto niliyonayo yupo nyumbani amelala anasema hawezi kwenda kwao mpaka apone shangazi yake mkali na Mimi nakunywa bia zangu baada ya kutoka job nikilewa naenda kulala Lodge bado namba yangu hana Kama anaweza aibe vitu vya ndani.

Ndani kwenye nina kagodoro tuu kapo chini Tena kametoboka kwa ajili ya punyeto, tv ya kichina inaitwa sing sang, pasi ipo ila waya umekatika ukifanya masihala inakupiga short, chaja ya simu na king'amuzi Cha Azam sijalipia tangu July abebee tuu.

Na ile nyumba ilivyo na tabu za luku sijui Kama haijaisha huko na hili joto wallah afee tuuu na akitoka njee tuu mbwa watamshughulikia Tena.

Pia demu ana tako kubwa ila mbwa wajeuri wameacha kung'ata tako wakang'ata kigimbi Cha mguu kweli dunia hii haishii misongamano.
hahahaha nimecheka mpaka nimesahau matatizo yaliyonkuta khaaaaa...hmu kuna balaaa mazee
 
20k per day hahaha utangoja sana aisee kama hauna strategies za kutafta mtaji wa kutengeneza hizo 20k

Hahaha 2pe basi strategies maana ulivyonicheka nahis utakua boss kitengo fulani
 
Unapoana ktk maisha yako unakabiliwa na changamoto ambazo wewe binafsi unaonakuwa ndio kikwazo cha kufika ktk mafanikio basijua kua umepiga atua fulani ktk maisha hivyo jitahidi kupiga atuanyingine za kutengeneza mbinu za kutatua changamoto zinazokukabili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I don't care..ilo ndio tatizo langu

you may not start conversation with the following recipient;Tairus
 
Changamoto ambayo sita sahau ni ya mahusiano...nilitokea kumpenda mrembo mmoja na tulikaa kwenye huo uhusiana 4yrs,alikutana na changamoto nyingi kwenye elimu yake kwa miaka 2,nilisimama pamoja naye na kumsaidia kila kitu...miezi michache kabla ya ndoa akagoma kwamba hayuko tayari mpk pale atakapojipanga kwa upya...nikaona isiwe tabu ni heri niendelee na maisha yangu...binti ambaye yuko serious na maisha huwa si kigeugea maana hiyo ndoa tulipanga mimi na yeye takribani mwaka mzima....nilijifunza kuwa unaweza panga mengi mema na mtu kumbe mwenzako yuko mwelekeo mwingine.

Hivi kwa nini wanawake wengi wanaosoma wapo hivi?
 
Back
Top Bottom