Matatizo na changamoto za maisha

Chiqa

Chiqa

Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
53
Likes
102
Points
40
Chiqa

Chiqa

Member
Joined Jul 19, 2017
53 102 40
Salaam,

Baada ya kuwaza sana na kuwazua bila kupata suluhisho la changamoto ninazopitia kwa sasa nikakumbuka kipindi nipo kambini JKT, nakumbuka afande mmoja mnoko alituambia maneno ya ajabu sana siku hiyo ila mwishoni akamalizia kwa kusema " mimi siwajui nyie, sijui mlipotoka na hata sijui mtakapokua kesho tumekutana kambini hapa na mtaniacha sina sababu ya kumchukia mtu na wala sina kinyongo na yeyote yule ila mazoezi tunayotoa ambayo nyie mnaona ni adhabu ni kwa ajili ya kuwaandaa muwe wakakamavu na wavumilivu pindi mtakapo kuwa vitani ama mkirudi uraiani msiwe waoga wa kujaribu na msiogope kushindwa" baada ya hapo akatupiga nua na doso la maana.

Nilichoelewa ni kwamba ukiwa jeshini wanakutengenezea mazingira ya vita ili utakapokuwa vitani usishangae wala kuzubaa maana ni mazingira ambayo kwa kiasi fulani unayafahamu.Hii pia inafanana kabisaa na maisha tulionayo.

Matatizo yanafanana kwa kiasi kikubwa sana kwa mfano; Kwa sasa mimi sina ajira najua kichwani kwako unaweza kwanini nisijiajiri lakini mpaka hapa nilipo nimeshajaribu kila njia kupata mtaji wa biashara au kujiajiri kwa njia yoyote ile ninayoona inafaa imeshindikana, najua kuna mtu mwingine anatatizo kama langu ama ameshapitia na kulitatua, kuna wengine wanauwezo mkubwa sana wa kutatua changamoto zinazowakabili bila tabu ila kuna wenzangu na mimi inakua ngumu sana kutatua changamoto fulani.

UZI HUU ni maalumu kwa yeyote yule atakaeguswa kutoa ushuhuda wa jambo lolote ama changamoto yoyote aliyowahi kukumbana nayo kwenye maisha ya kila siku na jinsi ambavyo alitatua changamoto ile ili iwe msaada kwa vijana wengi tunaokua bila malezi ya wazazi wa kutushika mkono kutuongoza ama watu wa kutupa ushauri tunapokumbana na matatizo.

NINGEPENDA TUZUNGUMZIE CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI kwa mfano nini ulifanya ulipokosa ajira, Jinsi ya kukabiliana na stress za umaskini, KIELIMU kwa mfano ni changamoto gani ulipitia wakati unasoma, KIJAMII kwa mfano. Matatizo ya akili kama msongo, sonona na jinsi ya kukabiliana nayo, Changamoto za kimahusiano n.k.

Karibuni jamani
 
man of steel

man of steel

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2013
Messages
1,077
Likes
2,016
Points
280
man of steel

man of steel

JF-Expert Member
Joined Jul 16, 2013
1,077 2,016 280
Nisiwe mnafiki kabisa changamoto inayonitesa ni moja tuu sina demu wala rafiki, ndugu jamaa na majirani wanadai najiskia nipo anti-social siwaelewani.

Yani nikienda Bar nakaa mwenyewe nakunywa vitu vyangu juzi mrembo si akanifata akaniambia Kaka mbona kila siku unakaa mwenyewe hauongei hauna demu nikamwambia ndio unaishije Sasa nikamwambia napiga sana Puchu aka punyeto nikamwambia unakunywa akasema Serengeti light nikamnunulia 10 kwa pamoja nikaondoka zangu akaniambia hata namba yangu hauchukui nikamwambia kunywa bia ukalale kumbe yule dada akabeba zile bia akaanza nifata na bajaji mpaka napoishi kufika Sina habari mbwa wakampalamia wemrarua Sasa hivi changamoto niliyonayo yupo nyumbani amelala anasema hawezi kwenda kwao mpaka apone shangazi yake mkali na Mimi nakunywa bia zangu baada ya kutoka job nikilewa naenda kulala Lodge bado namba yangu hana Kama anaweza aibe vitu vya ndani.

Ndani kwenye nina kagodoro tuu kapo chini Tena kametoboka kwa ajili ya punyeto, tv ya kichina inaitwa sing sang, pasi ipo ila waya umekatika ukifanya masihala inakupiga short, chaja ya simu na king'amuzi Cha Azam sijalipia tangu July abebee tuu.

Na ile nyumba ilivyo na tabu za luku sijui Kama haijaisha huko na hili joto wallah afee tuuu na akitoka njee tuu mbwa watamshughulikia Tena.

Pia demu ana tako kubwa ila mbwa wajeuri wameacha kung'ata tako wakang'ata kigimbi Cha mguu kweli dunia hii haishii misongamano.
 
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2016
Messages
1,149
Likes
1,219
Points
280
prince john john

prince john john

JF-Expert Member
Joined Aug 31, 2016
1,149 1,219 280

DUUUUUUH hizo nazo changamoto ndugu yangu, jipange vizuri vyote vimo ndani ya uwezo wako na unaweza tatua ukiamua[/QUOTE]
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
1,912
Likes
2,353
Points
280
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2017
1,912 2,353 280
Changamoto nyingi sana zinatupata vijana kiniumizacho ni Mara nyingi tunashindwa kuzitatua kutokana na sababu kadha Wa kadha
 
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2017
Messages
1,904
Likes
1,859
Points
280
Age
39
Mung Chris

Mung Chris

JF-Expert Member
Joined Sep 12, 2017
1,904 1,859 280
Ukiona changamoto zinakuandama jiongeze, maisha bhana ni hatari sana
 
Chiqa

Chiqa

Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
53
Likes
102
Points
40
Chiqa

Chiqa

Member
Joined Jul 19, 2017
53 102 40
Changamoto nyingi sana zinatupata vijana kiniumizacho ni Mara nyingi tunashindwa kuzitatua kutokana na sababu kadha Wa kadha

Yeah ni kweli ila cha msingi ni kuto kukata tamaa tu na kushirikishana ama kusaidiana kimawazo pale inapowezekana
 
Jeste

Jeste

Member
Joined
Sep 3, 2017
Messages
16
Likes
8
Points
5
Jeste

Jeste

Member
Joined Sep 3, 2017
16 8 5
Changomoto kubwa ya kukabiliana nayo imekua upatikanaji wa pesa kwa hali ya uchumi wa sasa, hakuna ajira njia pekee iliyobak ni kutengeneza ajira yako mwenyew, tuendelee kupambna la chiqa
 
Chiqa

Chiqa

Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
53
Likes
102
Points
40
Chiqa

Chiqa

Member
Joined Jul 19, 2017
53 102 40
Changomoto kubwa ya kukabiliana nayo imekua upatikanaji wa pesa kwa hali ya uchumi wa sasa, hakuna ajira njia pekee iliyobak ni kutengeneza ajira yako mwenyew, tuendelee kupambna la chiqa
Respect kwako jeste
 
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Messages
1,912
Likes
2,353
Points
280
Jane Msowoya

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2017
1,912 2,353 280
Yeah ni kweli ila cha msingi ni kuto kukata tamaa tu na kushirikishana ama kusaidiana kimawazo pale inapowezekana
Good good, ni mapema sana kukata tamaa
 
sili

sili

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2011
Messages
304
Likes
115
Points
60
sili

sili

JF-Expert Member
Joined Nov 10, 2011
304 115 60
Salaam,

Baada ya kuwaza sana na kuwazua bila kupata suluhisho la changamoto ninazopitia kwa sasa nikakumbuka kipindi nipo kambini JKT, nakumbuka afande mmoja mnoko alituambia maneno ya ajabu sana siku hiyo ila mwishoni akamalizia kwa kusema " mimi siwajui nyie, sijui mlipotoka na hata sijui mtakapokua kesho tumekutana kambini hapa na mtaniacha sina sababu ya kumchukia mtu na wala sina kinyongo na yeyote yule ila mazoezi tunayotoa ambayo nyie mnaona ni adhabu ni kwa ajili ya kuwaandaa muwe wakakamavu na wavumilivu pindi mtakapo kuwa vitani ama mkirudi uraiani msiwe waoga wa kujaribu na msiogope kushindwa" baada ya hapo akatupiga nua na doso la maana.

Nilichoelewa ni kwamba ukiwa jeshini wanakutengenezea mazingira ya vita ili utakapokuwa vitani usishangae wala kuzubaa maana ni mazingira ambayo kwa kiasi fulani unayafahamu.Hii pia inafanana kabisaa na maisha tulionayo.

Matatizo yanafanana kwa kiasi kikubwa sana kwa mfano; Kwa sasa mimi sina ajira najua kichwani kwako unaweza kwanini nisijiajiri lakini mpaka hapa nilipo nimeshajaribu kila njia kupata mtaji wa biashara au kujiajiri kwa njia yoyote ile ninayoona inafaa imeshindikana, najua kuna mtu mwingine anatatizo kama langu ama ameshapitia na kulitatua, kuna wengine wanauwezo mkubwa sana wa kutatua changamoto zinazowakabili bila tabu ila kuna wenzangu na mimi inakua ngumu sana kutatua changamoto fulani.

UZI HUU ni maalumu kwa yeyote yule atakaeguswa kutoa ushuhuda wa jambo lolote ama changamoto yoyote aliyowahi kukumbana nayo kwenye maisha ya kila siku na jinsi ambavyo alitatua changamoto ile ili iwe msaada kwa vijana wengi tunaokua bila malezi ya wazazi wa kutushika mkono kutuongoza ama watu wa kutupa ushauri tunapokumbana na matatizo.

NINGEPENDA TUZUNGUMZIE CHANGAMOTO ZA KIUCHUMI kwa mfano nini ulifanya ulipokosa ajira, Jinsi ya kukabiliana na stress za umaskini, KIELIMU kwa mfano ni changamoto gani ulipitia wakati unasoma, KIJAMII kwa mfano. Matatizo ya akili kama msongo, sonona na jinsi ya kukabiliana nayo, Changamoto za kimahusiano n.k.

Karibuni jamani
Uzi mzuri sana huu kwa ajili ya kupeana moyo ili kufikia malengo katika kutimiza ndoto zetu! naamini katika maisha kuna changamoto nyingi sana especially kwa sisi vijana, mimi nimemaliza chuo mwaka jana nimekuja kupata cheti mwaka huu mwanzoni, baada ya kuhangaika sana kutafuta ajira/internship au hata sehemu ya kujishikiza na kutofanikiwa, nikafikiria nifanye biashara gani itakayoweza kuniinua na ambayo inatoka sana kulingana na mahitaji ya binadamu ya kila siku nikaonelea biashara ya pesa ina mzunguko sana nikaamua kuuza simu yangu kwa laki 2 na 50, nikachukua line tigo pesa nikaanza biashara, namshukuru Mungu kwa sasa nimechukua line ya m-pesa na ninajikusanya ili nifanye biashara ya chakula nayo ninaonelea inalipa kiasi fulani.
 
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2012
Messages
7,016
Likes
2,837
Points
280
ISLETS

ISLETS

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2012
7,016 2,837 280
wengine tunazo nyingi mpaka server za jf zitajaa bora nisiziandike tu, ila suluhisho langu katika gumu lolote ninalopitia ni Mungu.
Ninashuhudia Mungu kawa msaada mkubwa kwangu, anasikia, anajari, anajibu kwa muda unaofaa, kanitendea mengi hata katika nyakati ambazo nilielekea kukata tamaa kabisa.
 
Joowzey

Joowzey

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2015
Messages
7,974
Likes
6,084
Points
280
Joowzey

Joowzey

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2015
7,974 6,084 280
Dah mzee baba umeongea kwa hisia sana!!
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
10,665
Likes
12,837
Points
280
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
10,665 12,837 280
Changamoto yangu kwa sasa ni jinsi ya kutengeneza kipato cha laki moja kila siku!
 
Forum statistics

Threads 1,249,764
Members 481,045
Posts 29,710,972