Matatizo kwenye mahusiano

Wacha kuchat, hakuna urafiki baina ya mwanamke na mwanaume wasio ndugu... Wanaojifanya marafiki ndio wengi huingia katika matatizo hayo.
...ya kujitakia
 
Yeah tunaanzisha makusudi kuwatega wanaume , pia huwa tunatamani na kuwataka pia
Ukikutana na mwanaume dudu mbele msimamo nyuma ohoooooooooooooooo simo

Cc Smart911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we haumo ila smart yumo
 
Da kweli mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…