Matatizo kwenye mahusiano

Matatizo kwenye mahusiano

Husna Muba

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2017
Posts
14,524
Reaction score
44,585
Kuna MATATIZO yanatufuata na kuna matatizo tunayakaribisha wenyewe.

Unapokuwa KATIKA ndoa yako na kisha ukaanza "kuchati" na mtu ASIEKUWA jinsia yako kwa mazungumzo ya kuamsha HISIA basi hisia zikiamka ni DHAHIRI kwamba utaanza FIKIRA za kuisaliti NDOA.

Ni TATIZO lililokaribishwa.
 
Smart911 love kuchat na mwanamke mwingine ni hatari kwa afya na ustawi na mahusiano.
Tena hatari for 95%!!

[HASHTAG]#kaambalinaobebii[/HASHTAG]

Ailavyu
 
Yeah tunaanzisha makusudi kuwatega wanaume , pia huwa tunatamani na kuwataka pia
Ukikutana na mwanaume dudu mbele msimamo nyuma ohoooooooooooooooo simo

Cc Smart911
Ha ha ha ha, unapewa haki yako tu, ila raha sana binti akitaka mwenyewe
 
Ha ha ha ha, unapewa haki yako tu, ila raha sana binti akitaka mwenyewe

Yeah raha ila it hurts kwa mwanamke mwenzie
Na kinyongo kinakuepo

Of all the men around kaona hapa kwa bwanangu tu!!! Inauma sana
anyway may be there is something special he has but siwezi kufurahi kamwe na akisema tuendelee nitamnyanyapaa tu

Cc Smart911
 
Si wanasema ukiachana vizuri na ex wako mnaweza mkaendelea kuwa marafiki wazuri tu
Hakuna kitu kama hicho. Mkiwa marafiki Kuna mawili unaweza kuanza kumuonea wivu juu ya mahusiano yake alionayo sasa au ukikuta yupo na mahusiano yasiyo na furaha atataka apumzishe nafsi yake kwako. Kitu ambacho ni hatari kwa mahusiano yako ya sasa. Waswahili wanasema ukitumia mua kama fimbo ya kutembelea ipo siku utaula tu.
 
Back
Top Bottom