Matatizo katika samsung galaxy s7

ngakotecture

JF-Expert Member
Dec 30, 2014
2,454
2,587
Habari waungwana wa jf nina simu yangu samsung s7 tangu jumapili imeanza matatizo ya kuwaka na kuzima kuzima na kuwaka ata apa kabla sijaanzisha huu uzi imezima na kuwaka wakuu samahan nisaidieni ushauri tatizo ni nini au kama kuna fundi umu jf nipo tayari kuigharamia itengenezwe.natanguliza shukran
 
Reset au Kai Flash tu

Utakujaga kuibiwa wewe..nenda kwenye maduka ya Samsung hua wana mafundi watakusaidia.au hukununua dukani kwao na kupewa receipt?
 
  • Thanks
Reactions: bbc
Habari waungwana wa jf nina simu yangu samsung s7 tangu jumapili imeanza matatizo ya kuwaka na kuzima kuzima na kuwaka ata apa kabla sijaanzisha huu uzi imezima na kuwaka wakuu samahan nisaidieni ushauri tatizo ni nini au kama kuna fundi umu jf nipo tayari kuigharamia itengenezwe.natanguliza shukran
Hiyo ni bootloop! Pelekea fundi tu au kama ni mpya na ina warranty pelekea Samsung Mobile Care watakusaidia....
 
Nimenunua dukan mkuu sema warrant ilishaishaga
Hata kama warrant imeisha ukitengenezewa si unalipa tu wala hawazuii,sasa si afadhari kuwapelekea wanaojua kuliko kuingia kwa wajanja wajanja

JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
 
Back
Top Bottom