Matata bado meya halali wa manispaa ya Ilemela

kwani matata akifukuzwa udiwani si jambo jema kwa ccm mana watachukua kata sasa mbona kama hawependi atoke madarakani kuna nini apo jamani...?
 
mkuu kama unavofaham mapungufu na changamoto zinazozikabili mahakama zetu ikiwemo ucheleweshaji wa kesi,na pia kumbuka alifungua kesi mbili,,mahakama ya mkoa na mahakama kuu,,hvo kwa kuwa bado anayokesi ya mzingi mahakama kuu anayopinga kuvuliwa uwanachama(wa chadema)hvo anaendelea kuwa diwani na meya mpaka pale kesi itakapoamliwa
 
matata adabu itarudi tu kama wale wa arusha chandema wala msiwe na wasiwasi mwanza haina watu wajinga inwatu wenye uelewa wanajua upi ni ujinga na upi ni ukweli. Matata ameshajimaliza kisiasa atakuwa mweupe kabisa
 
kesi zote mbili alizokuwa amezifungua ni dhidi ya baraza la wadhamini Chadema akipinga kuvuliwa uwanachama...sasa aluyoifuta ni ile aliyoifungua mahakama ya mkoa,huku akiwa amebaki na kesi moja ya msingi mahakama kuu.
 
kesi ya msingi ya matata na chagulani iko mahakama kuu kanda ya mwanza ni kesi numba 13 ya mwaka 2012(civil miscleneuos cause)kesi itatajwa tena tar.04/04/2013...
 

yote ni ubatili mtupu.kama yeye anajiamini anapendwa na wananchi aondoke CDM akagombee udiwani kwa tiketi ya magamba tuone kama atapata. yule ni msaliti wa demokrasia ya kweli.
 
CCM na wote wanaoshadadia upuuzi huu wanaitakia nini nchi hii! Watoto wetu wanajifunza nini kupitia upuuzi huu!? Chama tawala kinatuonyesha picha gani wananchi wa Mwanza? Upuuzi huu ni kwa manufaa gani na kwa nani? Matata kwa upuuzi huu tumweke kwenye kundi gani huyu? Wanaosimama na kushangilia uhuni huu wanapewa nini hawa? Ni njaa na umasikini wetu umetufikisha hapa? Tuacheni ushabiki wa kipuuzi tuweke utaifa mbele.
 

Tatizo la wananchama + washabiki wa cdm masuala ya kisheria yamewaendea alijojo (hamyajui)
 

Povu lakutoka bure aisee na hujui ulisemalo, CCM kwenye hili wanahusika nn ? haya ni masuala ya kisheria na mahakama, km hamjui sheria msisingizie ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…