i am sorry to say this..
hiyo orodha yako ya unrealistics
ndio matarajio ya 99 percent ya wanawake wa TZ.............
Realistic:
. . . Nampenda nae ananipenda ila migongano ya hapa na pale haitokosekana - TUTAITATUA PAMOJA.
. . . Ananifurahisha nami namfurahisha ila kuna wakati tutakasirishana - TUTASHIRIKIANA KUITAFUTA HIYO FURAHA TENA.
. . .Napenda/nafurahia uwepo wake nae wangu ila kuna wakati tutachokana - NI JUKUMU LETU KUTAFUTA NAMNA YA KURUDI KWENYE HALI HIYO.
. . .Maisha sio mabaya ila kuna wakati mahitaji yanaweza yakazidi uwezo - TUTAKABILIANA NA HALI HIYO PAMOJA.
. . .Tuna afya ila magonjwa/ajali zaweza tokea - TUTASIMAMA PAMOJA.
. . . Tutabadilika kadiri muda unavyoenda (muonekano, fikra, mazoea n.k) - TUTAJITAHIDI TUENDANE NA MABADILIKO YA KILA MMOJA WETU.
N.k. . . . . .
i am sorry to say this..
hiyo orodha yako ya unrealistics
ndio matarajio ya 99 percent ya wanawake wa TZ.............
Embu fanya haraka. . . au unapitia ile list yako ya vigezo na matarajio?I will be back....
Huh?mie naona ingekuwa simple kama wanwawake wangeingia kwenye relationship wakijua kuiwa guys would love free kitumbua any time of the day so women should also luk for free muhogo
Well said Lizzy, lakini pia naomba kuongezea hii kitu ya peer pressure ambayo ina influence matarajio ya akina dada wengi.
Inabidi muwe mnafanya usahili unaoeleweka ili kujua tunu na bati. . .
Nakubaliana na wewe kwamba unapokuwa na matarajio ya kiuhalisia basi uwezekano wa kumudu kuwa na uhusiano mzuri na wenye kuhimili mikikimikiki ya maisha ni mkubwa, zaidi ya hayo ni vizuri kujishughulisha kwenye maisha na kuacha utegemezi...itapunguza dissapointments kwenye mahusiano....na kuacha utegemezi nikimaanisha kuanzia ule wa kuamini bila fulani mis sina raha au maisha hadi ule utegemezi wa kifedha....!!
Fact!........i am sorry to say this..
hiyo orodha yako ya unrealistics
ndio matarajio ya 99 percent ya wanawake wa TZ.............
mie naona ingekuwa simple kama wanwawake wangeingia kwenye relationship wakijua kuiwa guys would love free kitumbua any time of the day so women should also luk for free muhogo
...nilipooa, matarajio yangu yalikuwa nitaishi nae, nizae nae mtoto/ watoto...
sikujua kwenye ndoa kuna zaidi ya hayo mawili....
...matarajio uliyoyaweka [ambayo ni general] yanapimwa na matukio na mabadiliko mbali mbali
baina ya wawili waliooana kila siku, kila wiki, kila mwezi, kila mwaka...
ukisikia 'wale' wameachana sababu ya "irreconciable differences," usidhani hawakuwa na matarajio mwanzoni...
ni "mitihani" tu ya maisha ya ndoa.