Matapeli wamerudi na message ya aina tofauti

gynel

Member
Oct 18, 2012
28
5
Wamebadilisha message be careful frndz. namba ya huyo mtu ni 0652795853
Morning, Nimepata Cv Yako Naifanyia Mchakato Upate Hii Kazi By Wednesday. Send 20,000 By Tigo Pesa Then Ntakupa Maelekezo Zaidi Badae. Kazi: HR Officer, Company-Oren Ltd, Location-Mikocheni B. Salary-2 Million(monthly). "toa Kitu Upate Kitu"
 
Sasa kama mimi kazi yangu fundi ujenzi, na sijamtumia mtu yoyote CV kimuhemuhe cha nini? Naungana na huyo tapeli kwamba toa kitu upate kitu...
 
nadhani hawapo makini na mtandao wao mambo machafu hata mtu ukitaka mes za mwenzio unapata tigo na sio mitandao mingine hawa tigo maye zao kama jina lao
 
Sasa kama mimi kazi yangu fundi ujenzi, na sijamtumia mtu yoyote CV kimuhemuhe cha nini? Naungana na huyo tapeli kwamba toa kitu upate kitu...
Nina wasiwasi na elimu yako,,,kama huoni hili tatizo la ajira na una support utopian,,,,hauko timamu
 
kuna watu wengine sio wazima sembuse hata na wao wanafanya kazi na hao matapeli huwezi kumsupport tapeli wakati anarudisha nyuma maendelao ya watu.
 
Back
Top Bottom