Titty
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 571
- 912
Dada yangu nimojawapo wanaotoa huduma za tiGO pesa sasa juzi katumiwa message direct kutoka tigo. Nasema 'direct' kwasababu haikuleta namba yakawaida ilileta FAIDIKA WAKALA. Wakamwambia "umefanikuwa kupata commission kupitia FAIDIKA WAKALA, utapigiwa sim punde."
Baada ya mda kidogo kapigiwa. Wakampa process kumbe wakati wanampa hizo process kumbe hela inahama. Mbaya zaidi wanaweka hadi zile nyimbo zao zakusubirisha. Wanandugu kuweni makini na hizi transaction za mtandao. Maana tumekuja kugundua matapeli pia wako mule ndani.