Hawa ni matapeli wa kwenye mitandao - Tigo inawaendekeza

Mapambano Yetu

JF-Expert Member
Aug 14, 2012
1,130
2,102
Kuna utapeli unafanywa na mawakala wa Tigo. Wanapita mitaani wakidai kusajili namba za university promotion pamoja na namba za kupiga bure miezi 6, week 2, call unlimited nk

Matapeli hawa hufunga namba zilizotolewa na kwa wakuu wa vituo vya polisi, watendaji kata na mahospitali. Huziswapua kwa kutumia njia ya 4G then huziuza kwa wateja kama laini za university. Mteja hupigwa picha akidhani laini imesajiliwa kwa ajili yake kumbe sivyo.

Zaidi wamefikia hatua ya kuiba pesa kwenye account za Tigo pesa za wateja wanaowasajilia laini. Hawa matapeli wako Dar, Iringa, njombe, mbeya na arusha..

Wafuatao wanaweza kusaidia ushahidi kama tigo ikiwahitaji.

0652920718 - huyu anajulikana maarufu kama Maiko Masima. Yuko tigo Shop Njombe. Jina lake jingine anajulikana kama Ndege. Huyu anaweza kusaidia kuwapata matapeli wenzie wote.

0674009648 / 0677003210/ 0713121312
Huyu yuko mbeya. Anafanya kazi kama wakala wa kusajili na kurenew lain. Mtandao wake uko tigo Shop mbeya wakati mwingine hutumia namba 0677010010

0719411237 / 0677011330/ 0677010102 / 0677003355 / 0622000647

Huyo anajiita Marcel lakini sio Jina lake halisi. Huyu mbali na kuswapua laini pia ni tapeli wa kuiba pesa kwenye account za tigo pesa. Anaishi Dar na ni wakala wa kusajili na kurenew laini. Anafanya kazi na baadhi ya mawakala wa tigo milimani City.

0673340859 / 0677010145
Huyu Anafanya kazi pamoja na Maiko Masima. Ana Mtandao mkubwa na ni bingwa wa kuswapua lain. Anaweza kumuuzia Mteja lain leo anamsajilia na tigo pesa, ukiweka pesa tu kwenye simu anaswapua lain.

0677010607
Huyu yuko Iringa. Anamawakala anaowafanyia kazi za kuswap laini.


Kuweni makini na hawa watu. Kuna watu wameshatapeliwa mpaka laki 5, laki 3, nk taarifa zilishatolewa mpaka kwenye Ofisi za Tigo lakini inaelekea wameshindwa kwa sababu wana rundo kubwa la mawakala hewa ambao Laini zao zimesajiliwa kwa majina hewa. Pia taarifa zimeshatolewa mpaka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama.

Ushauri: Tigo wahakiki upya mawakala wake kwa kutumia vitambulisho halali
 
Usijali soon rc wa dar ataingia huko....ngj amalizane na mbe.se kwanza

Ova
 
Tigo kuna tatizo. inabidi tcra waingilie kati maana kwenye huu mtandao hakueleweki.
 
Tigo washamlipa mtu fidia ya mil 500 kwa ujinga huu, nafanya kazi ni wakala wao lakini watu wamezoea magumashi ukimpa taratibu anasema wewe ni complicater hadi wanatukana.
 
Mimi nilishawahi kupigiwaa simu huku mtu akiambia mambo ya ajabu ajabu nilipomuambiwa mimi sio mjinga alinitukana sana.

tena wanamajidai kwamba huwezi kuwakamata maana line wamesajili kitapeli.

pole ndugu yangu

nilishaletaga uzi hapa kwamba wahakiki tena line hewa. nadhani itapunguza line hewa nyingi
 
Mimi nilishawahi kupigiwaa simu huku mtu akiambia mambo ya ajabu ajabu nilipomuambiwa mimi sio mjinga alinitukana sana.

tena wanamajidai kwamba huwezi kuwakamata maana line wamesajili kitapeli.

pole ndugu yangu

nilishaletaga uzi hapa kwamba wahakiki tena line hewa. nadhani itapunguza line hewa nyingi

Inabidi iwe hivyo. Lakini hawa mawakala wa Tigo wahakikiwe na uwepo utaratibu wa kuwatambua kwa vitambulisho halali
 
Back
Top Bottom