Sio wakenya TU Kuna kikundi Kiko hapo mikocheni, mwananyamara na jinondoni kimeliza watu wengi sana Tena mamilioni. Mimi ni mhanga wa hilo.Wakenya mna utapeli wa Kiboya sana...
Kiswahili ya Kenya nikajua mambo ya Nairobi hayo...Sip wakenya Kuna kikundi Kiko hapo mikocheni, mwananyamara na jinondoni kimeliza watu wengi sana Tena mamilioni. Mimi ni mhanga wa hilo.
Kesi za namna giyo zimejaa kituo Cha polisi Oysterbay na hakuna kinachifanyika; Inaonekana jamaa wana konection kubwa pale.
Huyo ni mkenya na hoyo ishu ni ya Kenya anaizungumziaKiswahili ya Kenya nikajua mambo ya Nairobi hayo...
huyo sio MkenyaHuyo ni mkenya na hoyo ishu ni ya Kenya anaizungumzia
Utakuwa mjinga sana kupiga number ya simu kwenye poster iliyobandikwa mjini - iwe kwa kutafuta nyumba, huduma ama mganga kutoka Tanzania. Ukitaka kuhumiwa nenda kwa professionals. Mtu yeyote anayebandika huduma ya kwa poster mjini ni tapeli na hilo linajulikana.
Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama elfu ishirini na tano. Kupiga simu truecaller app fulani ya simu ambayo huonyesha majina ya watu ukipiga simu ikanionyesha Jina< house scammers> yani watapeli wa nyumba.
Nilipopiga simu mwanamke mmoja akasema yeye ndio mwenye nyumba na iko mtu alitaka nyumba hii jana lakini bado hajalipa. Akasema kama nataka nyumba nimtumie deposit yaani kodi ya mwezi moja ili anipe nyumba.
Nilishangaa kwa vile sijaona nyumba, nikamweleza sijaona nyumba nitalipaje kodi. Jee isiponipendeza nitafanya nini na nishalipa. Akanieleza ya kwamba nisipopenda nyumba atanirudishia hela zangu.
Niliogopa kutuma hela kwa vile sijaona nyumba sijui yule naongea naye. Nikituma pesa sina uhakika kama nyumba iko. Hakuna vile ningerudishiwa pesa na polisi hawawezi saidia. Niliamua kutotuma pesa mawasiliano yakaisha hapa.
Kwahiyo katupiga😂huyo sio Mkenya
Salehe umeanza lini kuongea rafudhi ya Kenya aisee?Huku Kenya iko watu wameweka tangazo jiji ya kwamba wana nyumba ya kukodisha. Niliona nyumba moja Kodi ilikuwa elfu kumi na saba. Lakini maeneo hayo nyumba ya bedroom mbili huwa na kodi ya kama elfu ishirini na tano. Kupiga simu truecaller app fulani ya simu ambayo huonyesha majina ya watu ukipiga simu ikanionyesha Jina< house scammers> yani watapeli wa nyumba.
Nilipopiga simu mwanamke mmoja akasema yeye ndio mwenye nyumba na iko mtu alitaka nyumba hii jana lakini bado hajalipa. Akasema kama nataka nyumba nimtumie deposit yaani kodi ya mwezi moja ili anipe nyumba.
Nilishangaa kwa vile sijaona nyumba, nikamweleza sijaona nyumba nitalipaje kodi. Jee isiponipendeza nitafanya nini na nishalipa. Akanieleza ya kwamba nisipopenda nyumba atanirudishia hela zangu.
Niliogopa kutuma hela kwa vile sijaona nyumba sijui yule naongea naye. Nikituma pesa sina uhakika kama nyumba iko. Hakuna vile ningerudishiwa pesa na polisi hawawezi saidia. Niliamua kutotuma pesa mawasiliano yakaisha hapa.
Huko kuna waganga toka tz?Utakuwa mjinga sana kupiga number ya simu kwenye poster iliyobandikwa mjini - iwe kwa kutafuta nyumba, huduma ama mganga kutoka Tanzania. Ukitaka kuhumiwa nenda kwa professionals. Mtu yeyote anayebandika huduma ya kwa poster mjini ni tapeli na hilo linajulikana.
Huku Kenya mganga akitaka kupata wateja husema yeye ni mganga kutoka Tanzania, Tanga ama Zanzibar.Huko kuna waganga toka tz?
Daaah! Wajinga ndio waliwao, hawana cha uganga wala nini ni matapeli tuHuku Kenya mganga akitaka kupata wateja husema yeye ni mganga kutoka Tanzania, Tanga ama Zanzibar.
Iki ndo swahili ya kenya MkuuRekebisha Kiswahili chako, unatumia kimakosa neno "Iko", katika maeneo yote uliyotumia hili neno halikustahili kuwepo
MatapeliDaaah! Wajinga ndio waliwao, hawana cha uganga wala nini ni matapeli tu
Nataka mganga mkali tangaDaaah! Wajinga ndio waliwao, hawana cha uganga wala nini ni matapeli tu
Hivi nyumba ya kupanga unatapeliwa vipi?Sio wakenya TU Kuna kikundi Kiko hapo mikocheni, mwananyamara na jinondoni kimeliza watu wengi sana Tena mamilioni. Mimi ni mhanga wa hilo.
Kesi za namna giyo zimejaa kituo Cha polisi Oysterbay na hakuna kinachifanyika; Inaonekana jamaa wana konection kubwa pale.