Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,222
- 2,929
Kazi kwao wanaolazimisha,nikisoma alama za nyaka a kuona marue rue navua kiatu hata km ni bara baran,na sisi wadada kwanini tunalazimisha mapenzi jamani? kwani ni lazima?
Natembea peku mpaka nipate size yangu,mambo ya kulea mtu mzima ya nn ninao ndugu kibao moshi uko wana shida si bora niwalipie ada wenda wakanisaidia baadae.