Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 77,108
- 110,927
Anatafuta mchuchu mkali zaidi yako...
Mwanaume mfedheheshe na matusi yote hatojali,ukitaka umuweze mwambie shughuli kitandani haiwezi anakupa shombo tu!!!
Atakuchukia mpaka siku anaenda kaburini.