Matangazo ya Waganga wa jadi kasheshe kweli..........

Matangazo ya Waganga wa jadi kasheshe kweli..........

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,957
DAWA.JPG
 
Hawa jamaa kwa utitiri wa magonjwa wanayotibu kama ingekuwa kweli wangekuwa wanapaswa kuwa madaktari bingwa na maprofesa waliobobea na shughuli zao wasingefanyia kwenye cheap dirty guest house
 
Hawa waganga wanatakiwa kulipia matangazo nashangaa TRA wanawachukulia poa tu.
 
Hicho kibabu kinatoa macho hapo sijui kinataka kuboost nguvu za kiume?
 
Back
Top Bottom