matangazo ya vodacom | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

matangazo ya vodacom

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by The Boss, Jul 12, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Jul 12, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,045
  Likes Received: 18,536
  Trophy Points: 280
  ningependa kujua ni kampuni gani sasa inatengeneza matangazo
  hasa ya tv ya kampuni ya vodacom..

  mwenye kujua tafadhali amwage hapa..
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 24,908
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Kazi ni kwako!!!!
   
 3. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #3
  Jul 12, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,699
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  Nakumbuka lowescanad ndo ilikuwa agency ya matangazo yote ya voda sasa sina uhakika kama wanaendelea au vipi.
   
 4. 3D.

  3D. JF-Expert Member

  #4
  Jul 12, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,022
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mtu mmoja aliniambia kuwa ni agency ya South Africa. Imepewa kazi hii specifically for rebranding task. I can't confirm the info but it is from an almost reliable source. But why this question?
   
 5. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #5
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Am off topic kidogo. airtel matangazo yao hayana hata chembe ya ubunifu, kipind ilipokuwa inaitwa Zain yap, kaz ilikuwa ya ukweli. Mpaka sasa tiGo ndo wanawakimbiza.
   
 6. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #6
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  Wanaitwa JWT Company..trade mark under Jack Winters Group...
  headquaters hapa Bongo ni pale M-City kny Headquaters ya
  Vodacom (vodafone) wenyewe... ila HEADQUATERS wenyewe ni US, Dallas
  wakiwa wanasaidiwa usambazaji wa matangazo na AFRI KINGS Tanzania Ltd....
   
 7. marhaba

  marhaba JF-Expert Member

  #7
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 5, 2011
  Messages: 583
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  sio jack winterz ni John walter thompson.....
   
 8. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #8
  Jul 12, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,248
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160

  Niliporudi kuisoma nikagungua mistake... nimerekebisha
  utakuta mda nilio edit na ulo post ziko sawa... asante...
   
Loading...