Matangazo ya Mzee Majuto ITV yanaboa

Matangazo ya biashara ni kitu kinachotumia muda, akili, ubunifu na elimu kutengenaza. Ni sanaa tu kama uigizaji. Sasa ukiangalia level ya uigizaji Tanzania sidhani kama kuna tegemeo la kuwa na matangazo mazuri. Labda watengenezee nje eg Kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…