Matangazo ya kupoteza vyeti kwenye magazeti yanazidi kuongezeka

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,408
Habari!
Kiukweli kila kukicha matangazo yanazidi kushamili kwenye magazeti.
Serikali inayo kazi ya ziada tena kubwa sana Kwa staili hii.
IMG_20160928_202036.jpg

MKIMALIZA KUKAGUA VYETI FEKI NAZANI TULIOKUWA WAPIGA CHABO VYUONI TUJIANDAE KURUDI SHULE.
 
Ila hayo matangazo, hayazdi yale matangazo ya kuongeza nguvu za naniliu
c.c wanaume wa da. kawa
 
Back
Top Bottom