shikulaushinye
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 828
- 456
Wana JF,
Juzi nilikuwa nasikiliza kituo kimoja cha radio, nikasikia tangazo linalosifia condom kuwa inaongeza starehe, sikumbuki jina lakini ni kama extreme... Hivi haya matangazo ndiyo kupiga promo watoto wetu waingie kwenye ngono kwa kisingizio cha kampeni za ukimwi? Tangazo huwezi kulisikiliza ukiwa na watoto.
Tunaomba maadili yazingatiwe. Kumwambia mwanangu hii kitu eti ni tamu imekaaje.