Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,649
hili ni tangazo gani mkuu mbna sijalipata?
nyumba nyingine bwana, nyumba nyingine bwana ATTENTION.....
maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC
jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.
jingine:
everready
betri bora iliyo imara.
mdau lete matangazo mengine ya 1947¡
maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC
jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.
jingine:
everready
betri bora iliyo imara.
mdau lete matangazo mengine ya 1947¡
mi napenda lile la watoto wa mtaa wa ohio miaka ile wakiona wazungu utawasikia,
look,my milk is stendingi
then wanaonyesha kidole chini ya kitovu wanaongeza 'no wota'
Cafenol ni bora na ina asprin peke yake, hutuliza maumivi ya homa mafua na flu.maziwa ya kcc,
huwa pia na nguvu,
kwa watoto na watu wazima.
jingine
semea tena na tena
NDC
jingine:
lifebuoy
sabuni bora kwa afya yako.
jingine:
everready
betri bora iliyo imara.
mdau lete matangazo mengine ya 1947¡
Amarulaaaa.....the spirit of Africa!!