CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,998
mi napenda hili la airtel wamekata hasa mtu wa pili..
NMB,
Benki yako.
walimu utawajua tu hahahaa (jokes)
Hebuuuu jitokezeee, KIIIWII!!!!!!!!! simamaa, mbele za watuuuuuuu.....
Naenda kupata mng'aro wa kipekee na mng'aro wa ajabu, KIIIWIIII!!!!!
wanaimba tena weeee...
Halafu mwishoni wanamalizia:
"Kiwi hutunza viatu vyako kwa muda mrefuuuuuu"
Hivi hili tangazo bado lipo wajameni?
CL,
Kwani walimu Bank yao ni NMB?
Sijui ati!!
Mbona nawaonaga na Wanajeshi?
Hebu nijuze.
Wanjanja wa town
( ruttashobolwa& Madame B) wanabofya kwa tsh 25 kwa sms, facebook na tweeter bure
VODACOM KAZI NI KWAKO
Kata wewe baasi
Madam Rita fungua njia mtoto aanza kutambaa..nalikubali sana lile ni la Zantel.
Omary kila siku wajikuna ngwala ngwala ebu chukua kioo upeleke kuleeee!
Maimuna