Matangazo ya bahati nasibu(kamari) yamerudi tena??

Snipes

JF-Expert Member
Jul 2, 2013
8,920
16,199
Salaam JF
Je ni kweli matangazo ya kamari yamerudishwa tena kwenye vyombo vya habari ukiacha online media na magazeti??
Wiki iliyopita nilisikia tangazo la BIKO katika redio ya E Fm, leo nimesikia tangazo la TATU MZUKA katika kituo cha Clouds Fm.
Lengo la huu uzi ni kuulizia tu hayo matangazo kama kweli yamerudishwa tena kwenye vyombo vya habari kwa maana serikali ilishapiga stop matangazo ya namna hiyo miezi kadhaa iliyopita.
usiku mwema!
 
Huu ungekuwa mradi wa serikali tu yaani national lottery hapo ingekuwa mbadala wa vitambulisho na hela ingesaidia kwa miradi mingi tu
 
Back
Top Bottom