Matangazo ya Airtel Kenya!

Igagala

New Member
Aug 28, 2012
2
0
Niliona tangazo hili kwenye moja ya matangazo yao (1)...... "Unagongwa"

(2)......."Usikubali kugongwa tena"
Unaonaje kama Airtel Tanzania wakiyatumia pia ujumbe utafike
 
Kabisa ujumbe utafika.si unakumbuka ujumbe ule uliokuwa unasema ....ukitaka kula lazima uliwe?
 
Taratibu jamani..... Huku kuna watu kazi yao ni Kupara miwa, zamani walikuwa wakipara thamake
 
Kabisa ujumbe utafika.si unakumbuka ujumbe ule uliokuwa unasema ....ukitaka kula lazima uliwe?
 
Niliona tangazo hili kwenye moja ya matangazo yao (1)...... "Unagongwa"

(2)......."Usikubali kugongwa tena"
Unaonaje kama Airtel Tanzania wakiyatumia pia ujumbe utafike
Na asubuhi unakutana na salamu "umejambika?" yaani hujambo, tehe teheeeee
 
Niliona tangazo hili kwenye moja ya matangazo yao (1)...... "Unagongwa"

(2)......."Usikubali kugongwa tena"
Unaonaje kama Airtel Tanzania wakiyatumia pia ujumbe utafike
Hata la Airtel mkuu lipo poa wao hakati kabisa..hawa wengine wanakata mi wasiokata wala siwataki hawanogi
 
Back
Top Bottom