Mr. Samson
Member
- Feb 16, 2013
- 38
- 13
Nionavyo mimi,suala la 'nani achinje kitoweo cha nani' linalazimishwa na watu wachache, wapenda vurugu kuwa la kidini. Kwa hakika nijuavyo mimi,hakuna dini inayomtaka muumini wake amlazimishe mtu asiye wa imani hiyo kufuata misingi au kanuni na sheria za dini yake, tena kwa ncha ya upanga na kumwaga damu! Kama ipo nathubutu kusema, 'si dini ya Mungu!' Aidha serikali kwa upande wake, iache kuonesha upendeleo au udhaifu kama inavyoshuhudiwa katika tukio la Geita.
Dini ya kiislam kama inamtaka muumini wake kutokula mnyama aliyechinjwa na mtu asiye muislam, basi muislam ni wajibu wake kuhakikisha anatafuta mchinjaji wake anayemwamini, na si kulazimisha watu wote kumwamini mchinjaji wake pekee. Kila mtu ana haki na uhuru wa kuabudu anachokiamini bila kuingilia uhuru wa watu wengine.
Mambo haya yakiachwa yaendelee, si ajabu siku moja wasabato (SDA) nao wataamua kupiga marufuku kambale kuuzwa sokoni, na kuanza kukata mapanga watu ovyo, kwani kwa imani yao, kambale ni haramu!
TAFAKARI HOJA YANGU KABLA HUJANIHUKUMU!
Omulangi umeona mbali, ila kwa mtazamo wangu, nadhan kabla ya kujadili hapo ulipoanzia tuanze na kujadili nani kapanda mbegu hii[udini]? je enzi za nyerere haya mambo yalikuwepo? kama ndy kwa kiasi gani? na waliompokea kijiti walishughukua hatua gan?
leo ukininyooshea kidole mm kuwa nina ubaguzi wa dini haufanyi nichukiwe ila unafanya ile dini unayodhani naipendelea ndy ichukiwe,
hivyo tutazame tatizo lilipoanzia. tusikate majani ya mti kwa kudhan tunateketeza mti, bali tung'oe mizizi.
serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.
Tukiwaachia ndugu zetu wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ngngania, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
farasi,
mbwa,
manyani
nk.
Tumeyaona huko ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua halal meat toka bucha za waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la bucha.
Wewe unawaamini ?
ulikuwa wapi? Aaaa"!!mungu wenu amerudi kama ilivyo kawaida yenu<font color="mediumblue">media za nchi hii zinakasoro kiasi kwamba sasa hata viongozi wa bunge wanafikiri kuficha uoza wao ndio kutatufanya tuwaamini. Hakuna hata media moja imeeleza nini kilijiri kwenye matukio ya mazishi ya beseresere, badala yake wako buzy kukava matukio ya maandamano ya waislamu dar. Ni ajabu sana!<br />
ni tukio lililoleta viongozi wote wa kikristo kutoka madhebu yote ya kikristo mkoa wa mwanza. Kagera, shinyanga, kigoma na kwingineko na wote wakiwa na msimamo mmoja!<br />
yaliyotokea jana kwenye maziko ya yule mchungaji ni historia nyingine katika ukristo. Nchimbi alifukuzwa na rambi rambi zake asishiriki mazishi hayo. Mkuu wa mkoa wa mwanza pia alifukuzwa asishiriki yeye na rambi rambi zake alilazimika arudi mjini mwanza na mkuu wa wilaya pia kafukuzwa na rambi rambi zake. Wote walitakiwa au walikane tamko la wasira au waondoke. Waliamua kuondoka. Tamko ni lile lile kuchinja lazima wakristo tuchinje nyama yetu wenyewe bila kuchinjiwa na mtu yeyote na bila kulazimishwa kula nyama zilizochinjwa na waislamu maana kwa sasa tumegundua kuwa tunalishwa vitu biblia inatukataza! Kula nyama na vyakula vilivyotolewa sadaka kwa miungu mingine!<br />
kama mkristo. Sintakula nyama iliyochinjwa na asiye mkristo tena.</font>
kwenye quaran? Unategemea huo msahafu wa waislamu ungeongelea watu usiowahusu(wakristo)? Soma biblia uone kama kuna sehemu wakristo waliambiwa wakachinjiwe na waislam,uislamu ni dini iliyokuja baadae sana(576 A.D),unamaana watu walikuwa hawachinji kabla? Thnk deep!
Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.
Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ngngania, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?
Is christianity=attending mass every day? Or is a particar culture? Tafakari wewe!Omulangi I am a christian, six days a week never miss mass unless I am on Safari; frankly speaking, I dont know what Christians are fighting for. This Islamic practice has been there since colonial era and there was no quarrel, why now?
hakuna cha ibada ni uroho wa nyama. Kikundi cha biblia ni jibu walisoma Biblia na quan kuwa wenye ruhusa ni wayahudi,wakristo na waislamu. Tangu lini ibada ihamie buchani wanakoingia na viatu. Elimu ya darasani ni muhimu sana
kama wakristu ni mafisadi kwanini sasa usimshauri mwakilishi wenu awachukulie hatua , kwani yeye si ndie mkuu, au anaujua ufisadi ulivyosaidia kuuweka mfumo majini kwenye power hata nyie mmo sema unafiki wa kimakata, maimuna na ujinga wa kujilipua mabomu ili mwende kwa baba yenu wa baharini
Ningependa kujua mambo kadhaa kuhusu Adam alei salama:
1. Na yeye alitahiriwa?
2. Alikula ngamia?
3. Alikwenda Mecca (makao makuu ya shetani) kurusha mawe?
4. Alivaa suruali fupi?
5. Alivyokufa alikamuliwa barabara kumtoa haja yote mwilini?
Wagalatia wenzenu wamelisha watu nyama ya Farasi !
Hapa sasa viongozi wa dini hasa ya kikristo busara zinawatoka. kwani toka enzi za ukololoni Tanzania maaskofu wenye busara wa wakati huo walitambua kuwa kwutu sisi wakristo hatuhitaji kujua nyama kachinja nani,hili kwa wenzentu waislam wao wanautaratibu wa kuchinja ndiyo maana tukawaachia wao wachinje hata majumbani mwetu. hivi kwenye biblia kuchinja ni ibada? viongozi wa dini msitugombanishe watanzania kwa hoja zenu za shetani kuhusu kuchinja. tuacheni tuishi na waislam kama zamani.