Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.
Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ng'nga'nia, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?
Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tama na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!
Mi nitakula nyama yoyote ili mradi imechinjwa na binadamu. Je, akichinja mkristo au mwislamu, harufu yake au dini au imani yake inakuwa sehemu ya ile nyama? Hili jambo tunalichukulia kuwa ni la maana sana. Kweli imani imegeuka kuwa dili kwa baadhi ya watu.
Kweli wakristu tumebatizwa ktk imani ya kikristo lakini tumegezwa mafala na baadhi ya watu wanaofaidika kupitia watu wengine. Ni lini kwa mara ya kwanza tumegundua/baini kuwa nyama ikichinjwa na mwislamu mlaji anakuwa mwislamu au ikichinjwa na mkristo, mlaji atakuwa mkristo.
Ukristo wetu haupo ktk nyama ila ktk mahusiano na Mwokozi wetu Yesu Kristo, haijalishi umekula nini maana ni Yeye mwenyewe ktk Biblia alinena kuwa kikuingiapo mwilini hakikufanyi kuwa najisi bali kikutokacho. Mfano rahisi: Kuona mwanamke akipita uchi hakikufanyi kuwa umetenda dhambi bali pale sasa utakapoamua kumfuatilia na kuanguka dhambini.
Tuache utapeli wa kutumia jina la Kristo vibaya. Na swali: Je, ikichinjwa na mpagani/asiye na dini inakuweje? Na je, ikichinjwa na malaya au kahaba, tunapokula nyama hiyo, tunakuwa makahaba?
Nawashuruku wazazi wangu kwa kutokuwa wafuasi wa S.A.W. Maana hilo kundi lina inferiority complex. Hata kitabu chao wanachoamini hakuna sehemu inayosema wao ndio watu pekee wanaoruhusiwa kuchija humu Duniani sasa cha kushangaza taka taka ya hoja hiyo wanatoa wapi sasa!!! Stupid.
umenena maneno yenye hekima sana.jambo hili limenitatiza sana.ubaguzi wa dini ni mbaya kuliko ubaguzi mwingine wowote.fikiria shule za serikali watishije kama kweli wakristo wakilazimisha kula nyama iliyo chinjwa na mkristo tu? jeshini je wataishi vipi? walioana mkristo na mwislamum? DHAMBI HII NI MBAYA NA INALENGA KULIANGAMIZA TAIFA.
Mi nitakula nyama yoyote ili mradi imechinjwa na binadamu. Je, akichinja mkristo au mwislamu, harufu yake au dini au imani yake inakuwa sehemu ya ile nyama? Hili jambo tunalichukulia kuwa ni la maana sana. Kweli imani imegeuka kuwa dili kwa baadhi ya watu.
Kweli wakristu tumebatizwa ktk imani ya kikristo lakini tumegezwa mafala na baadhi ya watu wanaofaidika kupitia watu wengine. Ni lini kwa mara ya kwanza tumegundua/baini kuwa nyama ikichinjwa na mwislamu mlaji anakuwa mwislamu au ikichinjwa na mkristo, mlaji atakuwa mkristo.
Ukristo wetu haupo ktk nyama ila ktk mahusiano na Mwokozi wetu Yesu Kristo, haijalishi umekula nini maana ni Yeye mwenyewe ktk Biblia alinena kuwa kikuingiapo mwilini hakikufanyi kuwa najisi bali kikutokacho. Mfano rahisi: Kuona mwanamke akipita uchi hakikufanyi kuwa umetenda dhambi bali pale sasa utakapoamua kumfuatilia na kuanguka dhambini.
Tuache utapeli wa kutumia jina la Kristo vibaya. Na swali: Je, ikichinjwa na mpagani/asiye na dini inakuweje? Na je, ikichinjwa na malaya au kahaba, tunapokula nyama hiyo, tunakuwa makahaba?
Waislamu wa Singida na Dodoma wengi wao hula nyama ya punda, hapo unasemaje? Waislamu hula nyama ya ngamia na kunywa maziwa ya ngamia, kwa wakristo hilo ni jambo gumu, hapo pia unasemaje? Waislam wa Chechina-Usoviet huko wao hula vyura nadhani, hilo unalionaje? Waislamu wa Pemba wao hula popo, hilo pia limekaaeje? Waislam wa Mtwara hula panya....
Serikali na mashirika takriba yote yamajaa ufisadi na huduma mbovu, ni sehemu ya machinjiyo pekee kuna huduma safi na hakuna ufisadi, wa Tanzania lazima tujivunie na sehemu hiyo.
Tukiwaachia ndugu zetu Wenyetamaa za maisha, watoe huduma hiyo kama wanavo ngngania, naamini kabisa ufisadi, uchafu, utapeli na Maradhi yatarindima machinjioni, msije shangaa mkaanza kulishwa:
Punda,
Farasi,
Mbwa,
Manyani
nk.
Tumeyaona huko Ulaya sasa nyama haziliki tena, wenyeji wote wananunua HALAL Meat toka Bucha za Waislam kwa sababu ya watu hawa waliokosa maadili, wenye tamaa ya maisha wanaoweka mbele pesa walivyo haribu soko la Bucha.
Wewe unawaamini ?
Ebu acheni mambo ya Walawi hayo ya mapokeo. Imeandikwa wapi kuwa ni ninyi pekee mnaopaswa kuchinja? Kama kwenye kitabu mnachokiamini ninyi, wale wasio kiamini kinawahusuje?, Je, na wao wanalazimika kubanwa na imani zenu?. Wenye hekima wangeweza kujiuliza, Je, ninyi huwa hamsafiri kwenda huko mnakodai wanachinja nyani, punda, nk? Hivi unapofika huko nje hususan Ulaya na Marekani unauliza kachinja nani kabla ya kula nyama? Au hamjui sasa teknolojia imebadilika wanyama hawachinjwi kienyeji. Je, hamuwezi kula nyama iliyochinjwa kwa Mashine au hamli nyama ya kopo (canned Beef) ambayo kwenye lebo za kopo huambiwi kachinja nani?. Hivi ni nani aliyezurika kwenu kutokana na kula nyama iliyochinjwa na yule ambae si wa imani yenu!? Hamuendagi kwenye misiba, sherehe, mikutano nk mkala nyama?. Hivi kule huwa mnauliza kachinja nani?! Tuyatafakari hata yale tunayofundishwa, tujifunze kuwa dunia imebadilika.Tukiwaachia kuchinja kama kawaida yenu, mtaanza tamaa na kutuchinjia manyani, punda na wanyama wengine wenye madhara ya binadamu . nyie hamuaminiki, machinjioni kuko salama mkiingia huko mtapeleka ufisadi. nawakemea!
Matamka au matamko? mi sijakusoma vizuri.
.mh... hili suala naogopa hata kuchangia naona kuna mihemko kuliko busara ...
hii ni kweli kabisa hawa ndiyo wanataka nchi isitawalike hatuwaamini kamweee kuchinja kama unataka kuchinja kanyonge tu nyumbani kwakoHivi tangu lini makafir wameanza kuwa na taratibu za kuchinja?
Kwakuwa mnaonyesha kuwa mna haki ya kuchinja ssi wakristo hatuna ugomvi nayi endeleeni na ibada yenu hiyo sisi tumegundua kuwa tulikua tunashiriki ibada yenu kimakosa hivyo hatutaki tena ibada yenu tutachinja barabarani na kula tulivyochinja tutatengeneza mabucha yetu na tutaweka kila pande mabucha yetu bila kuwaudhi tutakula nyama zetu tutanunu ktk mabucha ya wakristo tu tukijua bucha la muislamu hatuendi wauzienio waislam wenzenu.