frama
Senior Member
- Aug 6, 2014
- 150
- 138
Mosha Hana kituHiv vituo vya mafuta anavyomiliki devis mosha na ukitaka kumjua mosha ni nani google
Mosha Hana kituHiv vituo vya mafuta anavyomiliki devis mosha na ukitaka kumjua mosha ni nani google
pesa zao zote za wizi na ujanjabujanja hakuna mchagga mwenye pesa ya halali
ACB ni ya mama A. MkapaErnest Masawe mwenye Akiba Commercial Bank hayupo kwenye list ?
Amerudi hewani, sasa kaongeza kiwanda kingine cha mifuko mikubwaMonoban hoi sa hivi,kiwanda kanyanganywa na serikali huku mabenki yanamdai balaa.Alitumia mpk nyumba anayoishi kuweka dhamana huko bank.
Ajabu naskia ndugu zake wanahela kuliko Yeye.Huyu jamaa nliona ofisi zake pale kwa sadala aisee
Naskia kwa ndugu zake. Yeye ni cha mtoto.Kuna kibri moja Ms inaitwa Harold Shoo anamiliki Harsho group of companies ,the guy is very rich
Ndgu yao mkubwa yuko shinyanga ana ginnerry ya kuchambua pamba na kukamua mafuta inaitwa fresho,kuna mwingine yuko dar anatengeneza chakula cha mifugo na maji ya hill water
Hill water??kilichopo mapinga???Ndgu yao mkubwa yuko shinyanga ana ginnerry ya kuchambua pamba na kukamua mafuta inaitwa fresho,kuna mwingine yuko dar anatengeneza chakula cha mifugo na maji ya hill water
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kijana Anaitwa flady anamiliki rafiki supemakets
Kiasi chake yuko vizuri,arusha anamiliki lodge mbili mitaa ya kaloleni
Hii list bado ina bias maana kuna matajiri ambao sio vijana na wengi hapa ni wazee pia kuna wafanyabiashara waliopo mikoani ambao chimbuko lao la uzao ni mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kwahiyo lazima waonekane Mangi..Nimegundua Watu wa Aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.
Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.
Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa
Karibuni
1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam
- Anapendwa Mno
- Anaheshimika Mno
- Amesaidia Vijana wengi Ajira
2.Laswai Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
Anaishi Moshi na Arusha.
- Anaheshimika Mno
- Multi Trade
3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
- Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
- Keys Hotel and apartments (London)
- Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
- Kilimanjaro Marathon Host and owner
- utitiri wa Vituo vya Mafuta
- Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
- and other Business.
5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.
Update:
6.Sunda: Mining and other Investment
7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks
7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs
8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite
9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)
10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)
11.Pandit: Tanzanite
12.Kanunga;Tanzanite and Mining
13.Mbise: Hotels and Accomodation
14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality
15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality
16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe
17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates
18.Gody : Tanzanite and Gemstone
19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi
20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)
naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.
Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me
Karibuni
Muhindi mwenyewe alikuwa anakaa pale dabo road karibu na shule ya Kibo Sekondari, aliishia wapi hivi?Wale vijana wa Moshi miaka ya 90's mpaka 20's kuna zile Taxi "TOP STORY" za mhindi zilikuwa karibia kila stendi za daladala Moshi, stendi ya daladala za Pasua, Soweto, KCMC, Mbuyuni, Kiboroloni mpaka mjohoroni, Kibosho-Road kirima, Mailisita na kwingineko.. wanafunzi wa Muungano, Mwenge, Jamhuri mpaka karanga na shule nyingine pale town wanaweza kuelewa
Mzee Christopher lyimo ametutoka na Koona, alikuwa na mabasi miaka ya 1988 yakiitwa KITOTO HOLDINGSSad news nasikia mzee kitoto amefariki kwa upumuaji, wadau wa majengo stand mtakuwa mnamfahamu
Sent using Jamii Forums mobile app
fladdy ni sawa na cheupe mwenye maduka mawili hapo stendi au Imma Mushisa tu, waganga njaa.