Matajiri, Watoto wa Mjini, Wababe na Wafanyabiashara wa Kilimanjaro na Arusha

Wale vijana wa Moshi miaka ya 90's mpaka 20's kuna zile Taxi "TOP STORY" za mhindi zilikuwa karibia kila stendi za daladala Moshi, stendi ya daladala za Pasua, Soweto, KCMC, Mbuyuni, Kiboroloni mpaka mjohoroni, Kibosho-Road kirima, Mailisita na kwingineko.. wanafunzi wa Muungano, Mwenge, Jamhuri mpaka karanga na shule nyingine pale town wanaweza kuelewa
 
Nimegundua Watu wa Aina niliyoitaja hapo Juu,Hawajulikani kabisa Hapa Dar es Salaam,sijajua sababu ila nadhani matajiri wa hapa Dar wanapata media Coverage nyingi na pia wanapata connection nyingi mno na Kuwa Mega kama sio Super Rich Kabisa au Maarufu kuliko wa mikoani.


Kwa kuwa wanaaminika na na kujulikana mno huwa wanawafunika wa Mikoani kwa Kila kitu,na hata hawa wa mikoani wakija Hapa Dar huwa wanakosa exposure na kujiamini kabisa.

Leo nawaleta kwenu watu Maarufu,Matajiri,Watoto wa Mjini,ambao wapo Mkoa wa Kilimanjaro hususani Moshi Mjini na Arusha,Naomba wadau wa Mikoa hii wanisaidie kujazia Nyama na Information na kutaja majina Mengine Ambayo yatasaidia kuwapa Exposure Wenzetu Hawa

Karibuni


1.Patrick Ngiloi Ulomi: Mfanyabiashara maarufu mno mikoa Hiyo anamiliki vituo vya Mafuta vya kutosha,Hotel za Kitalii za Kutosha,supermarket za kutosha, na Pia Anamiliki timu ya Mpira wa Miguu iliyoyoko Ligi Daraja la Kwanza Tanzania.
  • Anapendwa Mno
  • Anaheshimika Mno
  • Amesaidia Vijana wengi Ajira
kwa sasa Anaishi Moshi baada ya Kuhama Dar es Salaam

2.Laswai :(Trust Bureau de Change)
Huyu Ni Mfanyabiashara mwingine maarufu mno mkoani kilimanjaro,hayupo social sana ila anajulikana anamiliki hoteli kadhaa za kitalii ikiwemo Kibo Palace,pia akiwa kama Main Importer wa betri za Tiger,Utitiri wa bureau de change(mkumbuke Moshi na Arusha ni miji ya Kitalii)
na biashara nyingine nyingi.
  • Anaheshimika Mno
  • Multi Trade
Anaishi Moshi na Arusha.

3.Philemon Ndesamburo (Retired MP-CDM)
Need to say More?
  • Keys Hotel And Apartments( Moshi,Dar and Arusha)
  • Keys Hotel and apartments (London)
  • Keys Tours and Safaris-hapa Vehicles zote ni VX
  • Kilimanjaro Marathon Host and owner
4.Willy Lucas Tarimo-Snow Crest Original Owner
  • utitiri wa Vituo vya Mafuta
  • Hotel za Kitalii,ikiwemo snowcrest( ina Mgogoro)
  • and other Business.

5. Papa King-Mining
Owner of Triple A Investment.

Update:

6.Sunda: Mining and other Investment

7.Benson :Electronics Internet and Mobile Networks

7. Mrema: Impala Hotels,Ngurdoto Hotel,Naura Springs

8.Mathias Manga: Mining esp.Tanzanite

9.Willy Chambulo..aka Kaburu: Tourism and Hospitality ( Kibo Guides and Hotels)

10.Michael Ngaleku Shirima: Aviation ( Precision Air)

11.Pandit: Tanzanite

12.Kanunga;Tanzanite and Mining

13.Mbise: Hotels and Accomodation

14.Shidollya Tours;Tourism and Hospitality

15.Charles Makoi: Hotels and Hospitality

16.Alex Masawe (*******) tumweke au tumtoe

17.Mawalla Advocate; lawyers and Advocates

18.Gody : Tanzanite and Gemstone

19.Curthbert Swai: Ahsante Tours Moshi

20.Seif : cultural heritage( Vinyago na urembo)


naendelea kuzibadilisha kadri itakavyoonekana,inaonekana Makoi watu wanaona kashachoka,kuna kina Njake sijaona katajwa humu,list ikifika watu 100 wanaoeleweka tunaanza kuwapanga kwa number from baba lao,to upcoming Bilionairs.

Moshi naona mmezubaa wengi hapa ni matajiri wa arusha,siwaoni kina maleko,boisafi na wengineo nashindwa kuwachomeka maana sijui vizuri hali zao kwa sasa...pls update me






Karibuni
Hii list bado ina bias maana kuna matajiri ambao sio vijana na wengi hapa ni wazee pia kuna wafanyabiashara waliopo mikoani ambao chimbuko lao la uzao ni mikoa ya Kilimanjaro na Arusha kwahiyo lazima waonekane Mangi..

Regnald Mengi (RIP)
Davis Mosha
Felix Mosha
Mzee Lema wa Mwanza
Rowland Sawaya mwenye magari ya Kilimanjaro
Mzee Mrindoko mwenye mabasi na hotels
Mzee Makundi mwenye mabasi ya BM
Mzee Mremi mwenye Dar Express
Mzee hamis Kindoroko mwenye Tanga Beach na Giraffe
Babu "Ernest Mallya" Sambeke (RIP)
Edward Lowassa
Mzee Lukumay mwenye shule za Usa River, madini na maduka tengeru
Erasto Msuya (RIP)
Mama Zara mwenye Zara Tours na migahawa
Mzee Sunny mwenye Sunny Tours
Zuhel Fazal wa Leopard Tours na campsites
 
Wale vijana wa Moshi miaka ya 90's mpaka 20's kuna zile Taxi "TOP STORY" za mhindi zilikuwa karibia kila stendi za daladala Moshi, stendi ya daladala za Pasua, Soweto, KCMC, Mbuyuni, Kiboroloni mpaka mjohoroni, Kibosho-Road kirima, Mailisita na kwingineko.. wanafunzi wa Muungano, Mwenge, Jamhuri mpaka karanga na shule nyingine pale town wanaweza kuelewa
Muhindi mwenyewe alikuwa anakaa pale dabo road karibu na shule ya Kibo Sekondari, aliishia wapi hivi?
 
Back
Top Bottom