Matajiri wa Tanzania wakalia kuti kavu, badala ya kununua dola mil 1 kwa Tsh 2.3 bil sasa wananunua Tsh 2.9 bil

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
118,256
219,479


Taarifa ya Nabii wa Mungu Godbless Lema, ambayo ameisambaza leo Duniani kote kwenye kuhamasisha maandamano ya amani huko Arusha, imewataka matajiri wote wa jiji hilo kushiriki maandamano hayo, kwa vile hata wao wamekumbwa na Ugumu wa maisha baada ya dola kutoweka, na huenda wakafirisika baada ya muda mfupi ujao.

Miezi 9 iliyopita dola 1mil ya US ilibadilishwa kwa 2.3 bil za madafu lakini sasa dola hizo hazipo na kwenye black Market dola 1mil sasa ni 2.9 bil ya madafu, amedai kwamba haifahamiki huko mbele mambo yatakuwaje, hivyo matajiri hawako salama na wanapaswa kushiriki maandamano kabla hawajafirisika rasmi.
 
Hii hali iko huu ni mwez wa 6 sasa. Utafikiri hatuna serikali. Dolla hakuna kabisa japo hata kwa 2800. Cjui tunakoelekea
 
Waziri wa pesa ana PhD ya uchumi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…