Matajiri wa Mwanza-Kitana

cement

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
581
Reaction score
221
Jamani nimepata kusikia habari za huyu Kitana naasikia anaamiliki kisiwa huko na meli kibao za kusafirisha samaki kwenda Uganda mwenye kujua vizuri detail za huyu mkurya aamwage jamvini
Long time kulikuwa na Kishimba
Watu wa mwanza tupeni detail za jamaa wanaotesa huko kwa pesa!!!!!!!
 
nasikia ni jambazi mzuri tu, sijawahi kumuona kwa sura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…