Miiku
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 3,835
- 2,630
Hhaha hata sisi kule kibosho tulikuwa tukiila sana hiyo mikongoraaHa ha ha tumekula sana mizizi ile tukiamin machine inakaa sawa
Busy kuoga mto Rau kipindi kama hichi
Sa hiv maji hata kisigino hayafiki