The iron batterfly
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 1,952
- 2,527
- Thread starter
-
- #61
Nope niko kama Nancy sumari ama flaviana matata kimuonekanokumbe mchuchu fighter..[emoji135]
aina ya uandishi wako,imeniingiza chaka Madame.[emoji2]
Najaribu Ku imagine jinsi ulivyo strong woman...sipati picha aidha unafanana na Queen Darleen au Sister Fey ama Zari wa Chibu.?[emoji39]
Nope niko kama Nancy sumari ama flaviana matata kimuonekano
Very humble polite and all
Sema mavitabu nilosoma mayb
Halafu mmezoea wanawake au wasichana wengi kama kina wema sepetu au jackline wolper,ubongo makamas
Very primitive way of thinking
Nimesema mmezoea wasichana wenye akil mbovu kama kina wema aka makamas..very humble,polite and all.
makamasi yamekujaje tena[emoji53]
Huna handkerchief.!?
Kipanga alikua jirani na yule baharia aliyekufa kwa viagra Simbard alikua na gari short chasses?Long time sana.
Umenikumbusha na ghulam bus
Naam alwatani. Watoto hawajaweza jenga heshima aliyoacha mzee.
Na umenikumbusha kwa Kipanga mkuu
Mitaa yangu hiyo ya kipindi hicho cha utoto kuna yule mwarabu alikuwa na Islam garage tenaHawa wote wapo mAjengo!
Nimesema mmezoea wasichana wenye akil mbovu kama kina wema aka makamas
Avumaye baharin papa na wengine wapo
Tuko wanawake kibao smart tulikwenda shule na tunapiga kazi vibaya mno
lucas Tarimo
Vïcent lasway
mawalla
Mberesero
mremi wa dar exp
Bosco Chuwa
Panjwani.
Hari singh
Rajinder
Mchuku wa Mangi.
Ngoja niendeleze list kidogo,
Temba watch
Solani & sons
Boisafi
Deo Lekule
Ibra Shayo
Maleko enterprises
Marenga investment
Machare
Long time sana.
Umenikumbusha na ghulam bus
Naam alwatani. Watoto hawajaweza jenga heshima aliyoacha mzee.
Na umenikumbusha kwa Kipanga mkuu
Mitaa yangu hiyo ya kipindi hicho cha utoto kuna yule mwarabu alikuwa na Islam garage tena
NDIYO WALIKUWA MATAJIRI WA MOSHI AU ?lucas Tarimo
Vïcent lasway
mawalla
Mberesero
mremi wa dar exp
Bosco Chuwa
Panjwani.
Hari singh
Rajinder
Mchuku wa Mangi.
Nakubaliana na wewe kabisa. Matajiri wengi (>96%) ukwasi wao umepatikana kwa njia zisizo halali.
Yea.Mitaa yangu hiyo ya kipindi hicho cha utoto kuna yule mwarabu alikuwa na Islam garage tena
Kwa wakati ule unawaweka.Ghulam walikuwa na gereji yao pale kama Msaranga hivi sijui KDC sipaelewi vizuri ingawa walikuwa rafiki zangu sana. Wale hawakuwa matajiri kiviile ila yale mabasi yao wakati huo yaliwapa jina mjini!!
Sawaya.Huyu mwenye Kilimanjaro express
Kuna shirima wa precision airUtajiri wa Mtei kidogo ukiusoma unaweza leta maana,vipi kuhu
Ndesamburo
Kimei
Kimaro
Huyu mwenye Kilimanjaro express
Mremi wa dar ex
Na huyu wa kidia one mzee wa bata
Kuna tofauti kubwa kati ya ukweli na uhalisia. Watu wengi waliofanikiwa watakueleza uhalisia kamwe hawatakwambia ukweli wa kile kilichowafanya kufanikiwa.Utajiri una siri kubwa so vijana wenzangu tufanye kazi.Usiamini story za nilianza na kushona viatu stend,huwa hawasemi ukweli.