Matajiri tuambieni ukweli, acheni longolongo

Matajiri tuambieni ukweli, acheni longolongo

Hebu tumsikilize BOB MARLEY akielezea kwa mtazamo wake UTAJIRI NI NINI?
Oprah naye atasema hivi hivi. .bill Gates pia. ..fika walipofika alafu uyaseme hayo. .PESA NZURI ACHA MCHEZO KABISA. .
 
Mkuu;
Unachokataa hapa ni nini?? Kwamba kwako umasikini ni baraka sio?? Nitakuambia kwa herufi kubwa, UMASIKINI NI LAANA. Hujaona watu wanaliwa na funza wakiwa hai?? Mpaka unashindwa kumtambua kama ana akili au kichaa?? Hiyo kwako ni baraka?? Hujasikia watu wakisema ati kwetu mazao haya hayalimwi?? Hiyo ni nini?

Tatizo mila na desturi zatofautiana so siwezi pingana ama ungana na ww moja kwa moja kiongozi. Kwa nitokeako mm hakuna habari hizo.

Ninachoamini mm ni kua mafanikio ni juhudi na nyota ya mtu bila kujali familia za mababu zilikuaje. Nasema hivi kwakua nami natoka ktk familia maskini Lakini nkijiangalia naona kabisa Niko vizuri tofauti na babu na baba yangu. And naamini kama mwanangu watakua na akili timamu Basi wataenda level ya juu kabisa ya utajiri baadae.
 
ili uwe tajiri lazima uwe tapeli,jambazi na mdhulumati
Inategemea na mtu kweny moyo wake amejipangaje siyo wote lazima wawe majambazi au tapel mbona matapeli wako wengi lakini hawatajiriki . Haya wezi nao wako wengi lakini amna utajiri wowote solution nikujua kwanza utahitaji nn ukishajua must be ufanikiwe
 
Tatizo mila na desturi zatofautiana so siwezi pingana ama ungana na ww moja kwa moja kiongozi. Kwa nitokeako mm hakuna habari hizo.

Ninachoamini mm ni kua mafanikio ni juhudi na nyota ya mtu bila kujali familia za mababu zilikuaje. Nasema hivi kwakua nami natoka ktk familia maskini Lakini nkijiangalia naona kabisa Niko vizuri tofauti na babu na baba yangu. And naamini kama mwanangu watakua na akili timamu Basi wataenda level ya juu kabisa ya utajiri baadae.

Mkuu;
Laana huvunjwa na pia huvunjika. Jingine ni kwamba, hata wewe umesema kuwa unategemea wanao waje kuwa kiwango kingine tofauti na chako. Kwa nini?? Hela hufuata mkondo. Wanao wanakufuata kama wewe ulivyofuata mkondo flan ulokutangulia'
Kuna mtu, akiisha pata mlo wowote ule, baasi maisha yake siku hiyo ni poa kabisaaa. Mwingine, mpe milion moja, kituo cha kwanza, baa apate moja baridiiiii hadi akili itulie. Kutulia kwake ni wakati kila mtu anayeingia amepewa moja baridiii ka yeye aonekane kuwa ana hela. Huo sio umaskini, Nadhani hiyo ni laana kwani hata wa kwao hawaonji kitu kwenye hiyo milion.
 
Inategemea na mtu kweny moyo wake amejipangaje siyo wote lazima wawe majambazi au tapel mbona matapeli wako wengi lakini hawatajiriki . Haya wezi nao wako wengi lakini amna utajiri wowote solution nikujua kwanza utahitaji nn ukishajua must be ufanikiwe
hebu leta mawazo yako na tuchanganye na yangu tutimize ndoto
 
hata
Huwezi kuwa tajiri kama huna kifua cha kutunza siri... ya mungu mengi ila ya binadamu ndo zaidi
Kuwa tajiri kunahitaji; uwe na ulinzi wa fedha zako (kiimani zaidi) bila hivyo utaishia na hela za kula na kufanikiwa kujenga vibanda vyako basi hili wengi huwa hawalizingatii kabisa...kuna watu asubuhi hadi jioni ni binadamu wa kawaida usiku ni panya wa kuiba pesa za watu kila duka( reference:Kariakoo na maeneo mengine ya kazi)
zuckenberg
 
Back
Top Bottom