Matajiri tuambieni ukweli, acheni longolongo

Matajiri tuambieni ukweli, acheni longolongo

"You were born rich"...hiki kitabu kilinifanya nikanunua shamba badala ya kiwanja...ila nilipoanza tu kuwekeza nikahamishwa kikazi...nahisi kuna mkono wa Bujibuji unanivuta shati.... siku nikiamua kuacha kupelekwapelekwa ntakua tajiri...
Ngoja nitafute PDF ya kitabu hicho
 
tajiri akienda kanisani anaomba mungu ailinde familia yake na kiipa afya tele. masikini kaz yake ni kulaumu tu. oooh mungu mbona unioni mm kwanini yule tu. mara nimekukosea nini mimi! F.A kasema kuna vingi vya kumuomba mungu kabla ujamuomba utajiri...............
Mbona hapa JF 93.3% in walalamishi tu, na maana wrote maskini?
 
"You were born rich"...hiki kitabu kilinifanya nikanunua shamba badala ya kiwanja...ila nilipoanza tu kuwekeza nikahamishwa kikazi...nahisi kuna mkono wa Bujibuji unanivuta shati.... siku nikiamua kuacha kupelekwapelekwa ntakua tajiri...
Hahahaha
 
Tajiri a nafikiria kuwa tajiri tu. ..masikini ana visingizio chungu nzima. ..utajiri unaanzia ndani yako na unauma kama njaa. .una focus kwenye biashara yako tu. .na unaamini kile unacho kifanya utafanikiwa tu. ..determination. .persistence. ..NA VYOTE HIVI MWANZO WAKE NI NDANI YAKO MWENYEWE. ..waswahili wanasema adui yako mkubwa wa mafanikio yako yuko ndani yako mwenyewe. ..USIOGOPE unaweza. ..
Exactly!
 
Kweli mkuu..ni wanafki mno kwa maneno yao laini...huwa nachekaga mno naposikilizaga story za mjasiriamali Shigongo....uongo mtupuuu!!njoo nyuma ya pazia sasa..
Unataka kusema jamaa ni jambazi?ila inawezekana
 
Usisahau Sadaka kwa yatima na wazee wasio jiweza. ..wagonjwa hospitalini. .
 
Kama leo hii zikikusanywa fedha zote na kisha kila mmoja wetu akagawiwa kiasi cha fedha sawa na watu wengine, yaani wote tugawiwe kiasi sawa cha fedha,basi wale wote waliokua matajiri watarudia utajiri waliokua nao mwanzo,na waliokua masikini wataurudia umasikini wao! (Japo inaweza ikawa sio wote)
 
Ukweli ni kwamba hakuna aliyetajirika kwa njia halali asilimia 100, hawa wakina Bakhresa tunaambiwa sijui walianza kuuza maandazi ndio wakawa matajiri. Hizi ni danganya ulimwengu tu.

Hakuna anayeweza akakwambia jinsi alivyopata utajiri hasa sisi waafrica.
Nasikia alianzia kwenye ufundi viatu
 
Kama leo hii zikikusanywa fedha zote na kisha kila mmoja wetu akagawiwa kiasi cha fedha sawa na watu wengine, yaani wote tugawiwe kiasi sawa cha fedha,basi wale wote waliokua matajiri watarudia utajiri waliokua nao mwanzo,na waliokua masikini wataurudia umasikini wao! (Japo inaweza ikawa sio wote)
Umasikini/ utajiri ni mindset
 
SAFARI YA KUFIKIA UTAJIRI; Maneno ya kutia moyo huwa yako mengi sana utaambiwa''USIFE MOYO,GANGAMALA,
INUKA USITEGEMEE MTU, FANYA JUHUDI UTAFANIKIWA,MTAJI WA MASIKINI NI NGUVU YAKE MWENYEWE''hayo maneno huwa yanatolewa kutoka kwa watu WALIOFANIKIWA kwenda kwa WASIOFANIKIWA,utafikiri kwamba wao walifanikiwa kwa kauli kama hizo!! Matajiri wengi wametajirika kwa KUWEZESHWA,KURITHI,KUKOPA,KUIB
A,KUDHULUMU,KUNYANG'ANYA,KUFIS
ADI na AKIBA ZAO WALIZOJIWEKEA kutokana na vipato vyaoVIKUBWA vyenye ziada,maana huwezi ukaweka akiba kwa mapato madogo upatayo,utakula nini? Utakosa kutajirika HARAKA kama hulipi kodi kwa biashara zako? Sasa mtu hana chanzo chochote kilichiainishwa hapo juu,atatajirikaje!!??? Atafanikiwaje? Hakuna asemaye ukweli kwa jinsi safari yake ya utajiri ilivyopita. Sisi tusiokuwa na nyenzo mngetuacha kwanza! Mnatuvuruga! Wengi ujasiliamali wetu unaish kuganga njaa na kulipa madeni.MILUZI MINGI INAMPOTEZA MBWA!
hakuna manual ya jinsi ya kufikia mafanikio ila kile unachokifanya ukikifanya kwa ufasaha unafanikiwa uzembe wa kutaka kila kitu ufundishwe ndo unatuponza

Watu tunapenda kuishi kwa kuiga expenses zisizo na maana ndo zinatuponza ukitaka kuwa tajiri unakua tu

Tune your mindset
 
Back
Top Bottom